Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #41
Nikudanganye Ili iweje Mimi nanufaika nini na kudanganya wewe dogo kashinda milion 58 Jana tena kwenye ofisi za meridianKiwango Cha juu Cha ushindi meridianbet ni milioni 30.
Kwanini yeye kala 58 huo niuongo
Hizo za Samia Kila mtu analalamika hamna kituMbn unaguna au haujuu kuhus bonds. Kama upo dar tafuta agent wa (DSE) dar stock exchange awajuze kuhusu bonds especially Treasury Bonds.
Nani analalamika hizo ni free risk mkuu, Usisikize maneno ya mtaani tafuta taarifa sahihiHizo za Samia Kila mtu analalamika hamna kitu
Hio hela haikai wewe chukua 55 kampe mtu akushikie kwanza hata Mama yako kisha tuliza wenge subiri jini lipite la sivyo hela zote utazirudisha ulipozitoaDah halafu kweli mkuu umeongea pointi kubwa sana
Mkuu hela sijashinda Mimi Kuna dogo ndio kashindaHio hela haikai wewe chukua 55 kampe mtu akushikie kwanza hata Mama yako kisha tuliza wenge subiri jini lipite la sivyo hela zote utazirudisha ulipozitoa
Sio chai mkuu tena Sasa hivi ndio yupo ofisini anachukua mpunga alibetia kupitia makaratasiAtafute mshangazi kwanza, ila nahisi hii ni chai Meridianbet maximum winning amount ni chini ya hiyo 58M, labda kama ni jackpot kashinda.
Nenda kampe Mama yako hela akushikie utanishukuruMkuu hela sijashinda Mimi Kuna dogo ndio kashinda
hatari sanaYani unaomba maoni wewe kwenye hela za mwenzako hii kali.
Ushauri wa maana.Aende UTT AMIS
Kama betting inalipa awekeze kwenye biashara hiyo hiyoKuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29
Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.
Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani
Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Sawa mkuuKama betting inalipa awekeze kwenye biashara hiyo hiyo
A withdraw hiyo pesa aiweke benki atulie kama 60 days hivi bila kuigusa atajua kitu cha kufanya.Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29
Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.
Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani
Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
huko kuna nini?Aende UTT AMIS
Stake ilikuwa sh ngapi?Nilishampiga mil 20 sport bet sasa hivi namfukuzia nimpasue mil 123.
Pesa ya kamari haikai bora ajenge nyumba chap apangishe asijaribu kuifanyia biashara kwa sababu hii pesa haikai kabisa. Ajenge au anunue nyumba
Ili tumshauri vizuri weka na orodha ya walioliwa na wameliwa sh ngapi ili tuone faida na hasara za betting.Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29
Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.
Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani
Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Mshauri aendelee ku betiKuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29
Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.
Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani
Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Milion 58 mbona ndogo, atafute tena odds 2. Aweke milion 50 ili ije milion 100, ndipo tutapata cha kumshauri.Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29