Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

Meridian bet hela ya mwisho kwny mkeka Kama sikosei Ni milioni na haizidi 20
 
Shida nini mbona hasira Mimi sijakuletea huo umasikini wako ulionao
Kwahiyo wote ambao hawabeti ni masikini au nyie woooote mnaobeti ni matajiri?, huo ni ujinga wako na familia inayokuzunguka yaani umekosa cha kuandika hasa hoja za msingi zinazokuzunguka ukaona uje na mshindi wa betting wa 58mln,hizo hela zitaisaidia nini jamii inayokuzunguka itanunua dawa,madawati,nk?

Kwanini usihamasishe humu watu waungane na kujitolea kutatua changamoto zinazowazunguka kwa pamoja??
 
Tuingie barabarani tuzibe barabara au sio?
 
Binafsi namshauri atafute kina Lulu Diva, Mimi Mars, Wema Sepetu, au Kajała atumie nao ili apate ku-trend mitandaoni.
 
Hivi una akili kichwani changamoto zinazozunguka watu nizitatue Mimi serikali mbona kama umechanganyikiwa yaani mtu ashinde pesa zake kwenye bet halafu pesa zake zikanunue madawati dawa kichwani kwako Kuna Mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…