Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
HaiwezekaniMkuu raia wa Afghanistan anaweza kuingia Somalia bila Viza?
Kwanini umeuliza hilo
Atapewa kwa maombi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaiwezekaniMkuu raia wa Afghanistan anaweza kuingia Somalia bila Viza?
Hivi ukiwa huko Uingereza unahitaji Visa kwenda Nchi nyingine za Bara la Ulaya?Haiwezekani
Kwanini umeuliza hilo
Atapewa kwa maombi tu
Hapana mkuu ni kwenda tu ila kwa mda usiozidi siku 180Hivi ukiwa huko Uingereza unahitaji Visa kwenda Nchi nyingine za Bara la Ulaya?
Siku 180 ni nyingi na unaweza kuongeza muda ukitaka?Hapana mkuu ni kwenda tu ila kwa mda usiozidi siku 180
At least inaingia akilini.Issue ni kwamba wanaidrag Tanzania ili ifate mkumbo ili wakenya na wanyarwanda wajae nchini na ajira zote wachukue wao mana education ya watanzania IPO chini sana nda mana we huwezi kusecure ajira Kenya ila sisi huku wakenya wamejaa mana hamna control mechanism ya private sector. Ki ufupi Tanzania ni shamba la bibi
Hili suala linaingia akilini kabisa.1. Ardhi,
2. Ardhi
3. Ardhi.
Wazanzibari tu tunapiga kelele.
Issue ni kwamba wanaidrag Tanzania ili ifate mkumbo ili wakenya na wanyarwanda wajae nchini na ajira zote wachukue wao mana education ya watanzania IPO chini sana nda mana we huwezi kusecure ajira Kenya ila sisi huku wakenya wamejaa mana hamna control mechanism ya private sector. Ki ufupi Tanzania ni shamba la bibi
Hapana ni miezi mitatu kwanza halafu unaongeza mpaka kufika 180 sorry nilikuwa na maana hiiSiku 180 ni nyingi na unaweza kuongeza muda ukitaka?
Na mkuu ukitazama suala hili kwa mapana kunaweza kuzuka kwa vuguvugu hata la matukio ya kihalifu.Ni kweli wanataka tujichanganye ili waje wapore ardhi ya watanzania ya vizazi na zizazi
Nafahamu ila hili la Rwanda na hao whamiaji kuna la kutafakari.Hujui mpaka leo Tz ni viza free kwa Kenya Uganda Rwanda Burundi zambia nk, unaona kuna impact gani katika usalama wa nchi au katika uchumi?
Huwezi kufananisha Tz na Kenya ktk issue za ukabila na umilikinwa ardhi. Kwa taarifa tu. Kipindi Cha Kikwete aliunda tume ya kukusanya maoni kuhusu political federation chini ya Prof Wangwe na tume ilitoa taarifa au maoni ya WaTz kwa Kikwete kuwa watanzania wengi wamekataa na moja ya sababu ilikuwa umiliki wa ardhi.Uspecial kwa kipi hasa? Hii ideology imefanya wabongo wawe mavuvuzela kabisa wanadhani kila mtu anawaangalia wao kumbe watu hawana time kabisa.
Kutoka tz vikwazo ni vingi sana mpaka unakata tamaa..Ukilinganisha na majirani zetu, na nchi nyingine za Afrika, sisi wabingo sio watu wa kutoka na kusaka fursa nje ya mipaka yetu.
Ndio maana hoja kama hizi tunazizungumzia kwenye misingi ya uoga na kutoelewa.
Tukiwa watu wa kutoka tutaona alichifanya Kenya na faida sana.
Hawaogopi usalama wao wa taifa kama hapa lwetu?Hapana ni miezi mitatu kwanza halafu unaongeza mpaka kufika 180 sorry nilikuwa na maana hii
Acha uchokoziHawaogopi usalama wao wa taifa kama hapa lwetu?
Kwani Tanzania Kuna vyombo vya Usalama?Una hoja nzito, usikilizwe. Kwasababu this is not an overnight petty issue to deal with kwa maana vyombo vyetu vya usalama visijekuwa overloaded with huge task itakayopelekea loopholes, unless wa isolate kitengo so special and specific ku deal na hiyo section.
Submarine itoke wapi?😆 labda ya kunywea kahawa.😆😆 daah... tate nane mbavu zangu.Huko mpaka wakimbizi mnawaogopa mara ooh watajua submarines zetu mara ooh
Sasa mbona kutwa Usalama wa nchiSubmarine itoke wapi?😆 labda ya kunywea kahawa.
Huwezi kufananisha Tz na Kenya ktk issue za ukabila na umilikinwa ardhi. Kwa taarifa tu. Kipindi Cha Kikwete aliunda tume ya kukusanya maoni kuhusu political federation chini ya Prof Wangwe na tume ilitoa taarifa au maoni ya WaTz kwa Kikwete kuwa watanzania wengi wamekataa na moja ya sababu ilikuwa umiliki wa ardhi.
Zaidi ya nchi 40 Zina waiver ya visa free kuingia USA.nenda marekani,UK ,Germany ,france bila visa uone watakacho kufanya
Hivi unaposema Kenya hawana resources unamaanisha niniume analyse kwa akili , wana target wakubalike nje hawana ressource ndani , kwa TZ haitatusaidia , hatuna man power ya ku export nje