Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

Issue ni kwamba wanaidrag Tanzania ili ifate mkumbo ili wakenya na wanyarwanda wajae nchini na ajira zote wachukue wao mana education ya watanzania IPO chini sana nda mana we huwezi kusecure ajira Kenya ila sisi huku wakenya wamejaa mana hamna control mechanism ya private sector. Ki ufupi Tanzania ni shamba la bibi
At least inaingia akilini.
 
Ni kweli wanataka tujichanganye ili waje wapore ardhi ya watanzania ya vizazi na zizazi
 
Uspecial kwa kipi hasa? Hii ideology imefanya wabongo wawe mavuvuzela kabisa wanadhani kila mtu anawaangalia wao kumbe watu hawana time kabisa.
Huwezi kufananisha Tz na Kenya ktk issue za ukabila na umilikinwa ardhi. Kwa taarifa tu. Kipindi Cha Kikwete aliunda tume ya kukusanya maoni kuhusu political federation chini ya Prof Wangwe na tume ilitoa taarifa au maoni ya WaTz kwa Kikwete kuwa watanzania wengi wamekataa na moja ya sababu ilikuwa umiliki wa ardhi.
 
Ukilinganisha na majirani zetu, na nchi nyingine za Afrika, sisi wabingo sio watu wa kutoka na kusaka fursa nje ya mipaka yetu.

Ndio maana hoja kama hizi tunazizungumzia kwenye misingi ya uoga na kutoelewa.

Tukiwa watu wa kutoka tutaona alichifanya Kenya na faida sana.
Kutoka tz vikwazo ni vingi sana mpaka unakata tamaa..
 
Hawaogopi usalama wao wa taifa kama hapa lwetu?
Acha uchokozi
Hapa police hawana bunduki ila wana damage mfuko tu kwa fines
Hamna anaekujali kama unatii sheria zao
Ni kuwa mpole tu na kufanya mambo yako

Huko mpaka wakimbizi mnawaogopa mara ooh watajua submarines zetu mara ooh watajua siri zetu za kwenda mwezini
Yaani mna mbwembwe
 
Una hoja nzito, usikilizwe. Kwasababu this is not an overnight petty issue to deal with kwa maana vyombo vyetu vya usalama visijekuwa overloaded with huge task itakayopelekea loopholes, unless wa isolate kitengo so special and specific ku deal na hiyo section.
Kwani Tanzania Kuna vyombo vya Usalama?

Mbona hata Sas wageni huwa wanaingia km wanaenda kariakoo.

Labda vyombo vya usalama kwa ajili ya CCM.
 
Huwezi kufananisha Tz na Kenya ktk issue za ukabila na umilikinwa ardhi. Kwa taarifa tu. Kipindi Cha Kikwete aliunda tume ya kukusanya maoni kuhusu political federation chini ya Prof Wangwe na tume ilitoa taarifa au maoni ya WaTz kwa Kikwete kuwa watanzania wengi wamekataa na moja ya sababu ilikuwa umiliki wa ardhi.

Wewe umiliki wa ardhi umekufikisha wapi? Unaweza kufananisha uchumi wa TZ na Kenya? I hate to say this but Ukitoa ujinga na umaskini nini kingine mmeizidi Kenya? Ukienda nje ili mtu ajue TZ ipo wapi inabidi useme ipo karibu na Kenya.

Point yangu haikuwa based btn Kenya vs TZ tu bali kwa ujumla wake. Kuna notion ambayo wabongo mmemezeshwa miaka yote kwamba TZ ni special na dunia nzima watu wanaionea donge. SSH kuna siku alisema TZ ni kama binti mrembo kila mtu anamtolea macho something in those lines. Hii notion imefanya wabongo wawe mavuvuzela kwenye ulimwengu wa ushindani. Wabongo hawataki kutoka nje, hawataki kujichanganya, hawataki uraia pacha, hawataki wageni wanaamini wao ni special kila mtu anataka kuwaibia. Huu ni uzwazwa.

Kama mbuga SA kuna mbuga nzuri na zenye miundombinu bora kuliko bongo. Madini Congo wametuzidi mbali labda tanzanite tu. Visiwa na maziwa kila nchi yapo. Uchumi hatupo hata top10 Africa let alone worldwide. Same kwenye miundombinu na welfare ya wananchi. Huo uspecial wenu ni nini? Wenzenu wanafunguka wanaendelea nyie endeleeni kujifungia maghettoni mkiamini ni special.
 
ume analyse kwa akili , wana target wakubalike nje hawana ressource ndani , kwa TZ haitatusaidia , hatuna man power ya ku export nje
Hivi unaposema Kenya hawana resources unamaanisha nini
 
Back
Top Bottom