John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kuna ukweli Fulani kwenye hoja yako.Kenya wanajitambua, inathamini wageni na kuwajali, mgeni ukishampa masharti magumu usifikiri atakukalia, nchi nyingi tu zinamhitaji ambazo hazina masharti, hata mzawa kuna mahala anashindwa kurun biashara zake kutokana na kodi kubwa anatozwa mpaka anasajili gari zake nje ya nchi, kama ni rwanda, burundi au congo, hii nchi ngumu sana. Wageni wana haki kukimbilia nchi zenye masharti rafiki, Mzawa ana haki kulipia nchi za jirani na kuachana na huku kwenye kodi kubwa
Wengi wetu watanzania roho mbaya na wivu inatuponza, na ndio maana mambo yetu hayaendi
Nimemaliza......
Mfano mzuri ulio hai ni Bw. Zakaria Hans Poppe, alienda kusajiri magari yake ya usafirishaji mizigo nje ya Tz kutokana hali mbaya ya kisiasa na kiutawala iliyopo hapa Tz, aliona huko nje nchi jirani kuna Sera nzuri kuliko hapa Tz nyumbani kwake alipozaliwa.