Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

Wewe unadhani huyo mgeni anakupenda sana wewe sokwe mtu
 
Wewe unadhani huyo mgeni anakupenda sana wewe sokwe mtu
 
Tunataka afrika moja mataifa yote yawe wamoja bila visa,achen porojo zenu za vjiwen,hii ndo afrika gadafi alioitaka
 
Sasa mbona kutwa Usalama wa nchi
Sijui na kiduku asemaje
Hizo sub sasa utasikia kina Maulidi ndio wametengeneza
UJamaa feki uliharibu Mindset zetu tunajua fika kile kipindi tunapata Uhuru kilikuwa ni kipindi cha COLD WAR lakini sisi bado tu tumegandisha mawazo yetu wakati wenzetu walishaondoka huko😁
 
Tunataka afrika moja mataifa yote yawe wamoja bila visa,achen porojo zenu za vjiwen,hii ndo afrika gadafi alioitaka

Kwani Gaddafi ni nani hadi tumsikilize?

Hatutaki Africa iungane huo mpango ushindwe na ufe. We're a melting pot of different cultures, traditios, customs and values hatuwezi kuwa kitu kimoja. Ni rahisi tulivyo sasa kuliko kuungana. Kawaambie SA waungane na CAR(sio Congo) uone kama watakuelewa.
 
Tanzanians should focus on policies regarding their country. Kenyans don't even know who is your deputy president yet you are concerned with kenyan matters, you should use this energy to increase move your country from LDC
 
Uraia wetu ni tunu.
Hii ipo ktk tunu za Taifa la Tanzania.
Ingawa hatukumwaga damu kama nchi nyingine lakini Imani yetu tangu mwanzo ni kuwa Mtanganyika ama kuwa Mtanzania ni kitu Cha kujivunia. Asiyetaka hakatazwi kuukana utanzania.

Kuna nchi ambazo zimeendelea na bado uraia wao ni tunu kubwa na kila raia anawajibika kutumia muda wake kwa ulinzi wa kijeshi ktk nchi yake.
 

Nchi hupangwa kwa madaraja na (wao) uhamiaji hutumia rangi katika hayo madaraja, ya kuwa raia wa nchi fulani rangi zao ni hizi, na wa nchi fulani rangi zao ni hizi. Kuanzia red hadi green.
Kwa mfano kipindi Osama yupo Afghanistan, visa aa raia wanaotoka hizo nchi huwa stepped up kwny rangi fulani ambayo inamaanisha kuwazuia ama kuwachekecha hasa raia wa nchi hizo wanaoingia.

Nchi ikiwa na rangi ambayo wao uhamiaji wameiona ni hatari kwa usalama, ama dawa za kulevya nk, visa zao huwa na vgezo kigumu sana kuingia Tz au nchi yyte duniani. Hata raia wa Tz wanaotembelea hizo nchi na kuwa na stamp ya exit ya hizo nchi wakiingia at any point of Entry katika nchi yetu, ukaguzi wao huwa wa hali ya juu.

Upo sahihi kwa worry yako, lakn rais wao haja identify vikwazo vimeondolewa kwny nchi zenye rangi ipi na ni vikwazo vipi. Maana kuna nchi ambazo hazihitaji viza kuja Tz au kwao Kenya.

Beside waalifu kama magaidi nk, wana all means ya kuingia nchini kwakutumia any document au kuingia kwny mipaka yetu dhaifu
 
Congo pamoja na yote lakini hakuna amani. Amani ni kitu Cha kujivunia sana kama Mtz. Sisemi hakuna matatizo ila Congo wametuzidi labda Rhumba. Mali zao zinaibiwa kila siku.
 
Kujichanganya kwa wa Tz tunabfungwa na sera za ki nchi hazisapoti. Hapo Rwanda huwa wanaambiwa kabisaa kuwa nchi yao ni mdogo hivyo wakatafuteali kokote. Na KP anaweka sera za kuwavutia wafanyabiashara na makampuni makubwa hapa kwetu wanasiasa ni changamoto ktk hili. Hapo naomba utofautishe wanasiasa na nchi. Unaweza ukawa proud na nchi yako lakini usiwe proud na wanasiasa na sera zao baadhi ama zote
 
Bado SA Africa Wana ya kujifunza mengi kutoka kwetu. Ukanda, ukabila na uchumi baguzi
 
Uchumi wetu ni mdogo si kwa sababu ya nchi yetu kuwa masikini ila ni sera na usimamizi mbovu wa uchumi wetu.
 
Uchumi wetu ni mdogo si kwa sababu ya nchi yetu kuwa masikini ila ni sera na usimamizi mbovu wa uchumi wetu.

Sio sera, bali ni uongozi.

Dubai hawakuwa na kitu, ila uongozi umewafikisha walipo. Tanzania na nchi nyingi za Africa zina kila kitu yet ni maskini.

Uongozi bora na makini hutengeneza sera zilipo bora na huondoa sera zilizo mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…