Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Zaidi ya nchi 40 Zina waiver ya visa free kuingia USA.
Sema nchi zinazojielewa sio kila nchi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya nchi 40 Zina waiver ya visa free kuingia USA.
Wewe unadhani huyo mgeni anakupenda sana wewe sokwe mtuNani kakwambia [emoji1241] maskini! Au watu wake ndio maskini!
Wengi wenu huwa mnatanguliza shari, na roho mbaya kwa wageni/wawekezaji na ndio maana umaskini hautakuja kuisha, viongozi wengi ama baadhi yao wanakula mema ya nchi, wewe utabaki kulaumu matajiri tu wakati hawa hawa matatajiri ndio wanatufanya tupate rizki ya kula kupitia kwa Mwenyezi Mungu.
So endeleeni tu kukaza ila baadhi ya viongozi wetu wakiwemo mawaziri, wabunge n.k wanachekelea tu, wewe utabaki kulaumu matajiri

Hawa marais wengine walistahili kuwa toilet paper za chooni maana kichwani ni mafii ya bata kabisa[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
UJamaa feki uliharibu Mindset zetu tunajua fika kile kipindi tunapata Uhuru kilikuwa ni kipindi cha COLD WAR lakini sisi bado tu tumegandisha mawazo yetu wakati wenzetu walishaondoka huko😁Sasa mbona kutwa Usalama wa nchi
Sijui na kiduku asemaje
Hizo sub sasa utasikia kina Maulidi ndio wametengeneza
Na kweli boss tena tumeganda haswaUJamaa feki uliharibu Mindset zetu tunajua fika kile kipindi tunapata Uhuru kilikuwa ni kipindi cha COLD WAR lakini sisi bado tu tumegandisha mawazo yetu wakati wenzetu walishaondoka huko😁
Tunataka afrika moja mataifa yote yawe wamoja bila visa,achen porojo zenu za vjiwen,hii ndo afrika gadafi alioitaka

Uraia wetu ni tunu.Wewe umiliki wa ardhi umekufikisha wapi? Unaweza kufananisha uchumi wa TZ na Kenya? I hate to say this but Ukitoa ujinga na umaskini nini kingine mmeizidi Kenya? Ukienda nje ili mtu ajue TZ ipo wapi inabidi useme ipo karibu na Kenya.
Point yangu haikuwa based btn Kenya vs TZ tu bali kwa ujumla wake. Kuna notion ambayo wabongo mmemezeshwa miaka yote kwamba TZ ni special na dunia nzima watu wanaionea donge. SSH kuna siku alisema TZ ni kama binti mrembo kila mtu anamtolea macho something in those lines. Hii notion imefanya wabongo wawe mavuvuzela kwenye ulimwengu wa ushindani. Wabongo hawataki kutoka nje, hawataki kujichanganya, hawataki uraia pacha, hawataki wageni wanaamini wao ni special kila mtu anataka kuwaibia. Huu ni uzwazwa.
Kama mbuga SA kuna mbuga nzuri na zenye miundombinu bora kuliko bongo. Madini Congo wametuzidi mbali labda tanzanite tu. Visiwa na maziwa kila nchi yapo. Uchumi hatupo hata top10 Africa let alone worldwide. Same kwenye miundombinu na welfare ya wananchi. Huo uspecial wenu ni nini? Wenzenu wanafunguka wanaendelea nyie endeleeni kujifungia maghettoni mkiamini ni special.
Una hoja nzito, usikilizwe. Kwasababu this is not an overnight petty issue to deal with kwa maana vyombo vyetu vya usalama visijekuwa overloaded with huge task itakayopelekea loopholes, unless wa isolate kitengo so special and specific ku deal na hiyo section.
Congo pamoja na yote lakini hakuna amani. Amani ni kitu Cha kujivunia sana kama Mtz. Sisemi hakuna matatizo ila Congo wametuzidi labda Rhumba. Mali zao zinaibiwa kila siku.Wewe umiliki wa ardhi umekufikisha wapi? Unaweza kufananisha uchumi wa TZ na Kenya? I hate to say this but Ukitoa ujinga na umaskini nini kingine mmeizidi Kenya? Ukienda nje ili mtu ajue TZ ipo wapi inabidi useme ipo karibu na Kenya.
Point yangu haikuwa based btn Kenya vs TZ tu bali kwa ujumla wake. Kuna notion ambayo wabongo mmemezeshwa miaka yote kwamba TZ ni special na dunia nzima watu wanaionea donge. SSH kuna siku alisema TZ ni kama binti mrembo kila mtu anamtolea macho something in those lines. Hii notion imefanya wabongo wawe mavuvuzela kwenye ulimwengu wa ushindani. Wabongo hawataki kutoka nje, hawataki kujichanganya, hawataki uraia pacha, hawataki wageni wanaamini wao ni special kila mtu anataka kuwaibia. Huu ni uzwazwa.
Kama mbuga SA kuna mbuga nzuri na zenye miundombinu bora kuliko bongo. Madini Congo wametuzidi mbali labda tanzanite tu. Visiwa na maziwa kila nchi yapo. Uchumi hatupo hata top10 Africa let alone worldwide. Same kwenye miundombinu na welfare ya wananchi. Huo uspecial wenu ni nini? Wenzenu wanafunguka wanaendelea nyie endeleeni kujifungia maghettoni mkiamini ni special.
Bado SA Africa Wana ya kujifunza mengi kutoka kwetu. Ukanda, ukabila na uchumi baguziWewe umiliki wa ardhi umekufikisha wapi? Unaweza kufananisha uchumi wa TZ na Kenya? I hate to say this but Ukitoa ujinga na umaskini nini kingine mmeizidi Kenya? Ukienda nje ili mtu ajue TZ ipo wapi inabidi useme ipo karibu na Kenya.
Point yangu haikuwa based btn Kenya vs TZ tu bali kwa ujumla wake. Kuna notion ambayo wabongo mmemezeshwa miaka yote kwamba TZ ni special na dunia nzima watu wanaionea donge. SSH kuna siku alisema TZ ni kama binti mrembo kila mtu anamtolea macho something in those lines. Hii notion imefanya wabongo wawe mavuvuzela kwenye ulimwengu wa ushindani. Wabongo hawataki kutoka nje, hawataki kujichanganya, hawataki uraia pacha, hawataki wageni wanaamini wao ni special kila mtu anataka kuwaibia. Huu ni uzwazwa.
Kama mbuga SA kuna mbuga nzuri na zenye miundombinu bora kuliko bongo. Madini Congo wametuzidi mbali labda tanzanite tu. Visiwa na maziwa kila nchi yapo. Uchumi hatupo hata top10 Africa let alone worldwide. Same kwenye miundombinu na welfare ya wananchi. Huo uspecial wenu ni nini? Wenzenu wanafunguka wanaendelea nyie endeleeni kujifungia maghettoni mkiamini ni special.
Uchumi wetu ni mdogo si kwa sababu ya nchi yetu kuwa masikini ila ni sera na usimamizi mbovu wa uchumi wetu.Wewe umiliki wa ardhi umekufikisha wapi? Unaweza kufananisha uchumi wa TZ na Kenya? I hate to say this but Ukitoa ujinga na umaskini nini kingine mmeizidi Kenya? Ukienda nje ili mtu ajue TZ ipo wapi inabidi useme ipo karibu na Kenya.
Point yangu haikuwa based btn Kenya vs TZ tu bali kwa ujumla wake. Kuna notion ambayo wabongo mmemezeshwa miaka yote kwamba TZ ni special na dunia nzima watu wanaionea donge. SSH kuna siku alisema TZ ni kama binti mrembo kila mtu anamtolea macho something in those lines. Hii notion imefanya wabongo wawe mavuvuzela kwenye ulimwengu wa ushindani. Wabongo hawataki kutoka nje, hawataki kujichanganya, hawataki uraia pacha, hawataki wageni wanaamini wao ni special kila mtu anataka kuwaibia. Huu ni uzwazwa.
Kama mbuga SA kuna mbuga nzuri na zenye miundombinu bora kuliko bongo. Madini Congo wametuzidi mbali labda tanzanite tu. Visiwa na maziwa kila nchi yapo. Uchumi hatupo hata top10 Africa let alone worldwide. Same kwenye miundombinu na welfare ya wananchi. Huo uspecial wenu ni nini? Wenzenu wanafunguka wanaendelea nyie endeleeni kujifungia maghettoni mkiamini ni special.
Uchumi wetu ni mdogo si kwa sababu ya nchi yetu kuwa masikini ila ni sera na usimamizi mbovu wa uchumi wetu.