Kwa nchi nyingi Visa ni sehemu ya mapato na wala haihusiani na usalama!kufanya vetting kwa watu wanaotaka kuingia nchini ni moja ya process ya kutoa visa , ukiondoa restriction hio ni sawa na kuwa na mfumo wa bank ambao huhitaji password kulogin , wahalifu watahack mfumo na utalia sana
Sasa kwann uniulize hilo swali?Nimekuuliza nchi ya Kenya imeruhusu watu kuingia bila viza, nitajie nchi ngapi zingine katika bara la Afrika lenye nchi 54 zimeruhusu watu kuingia nchini mwao bila viza?
Mtanzania unapotembelea nchi zote za SADC au EAC huhitaji Visa, halikadhalika wanaotoka nchi hizo kuja Tanzania hawahitaji Visa.Nimekuuliza nchi ya Kenya imeruhusu watu kuingia bila viza, nitajie nchi ngapi zingine katika bara la Afrika lenye nchi 54 zimeruhusu watu kuingia nchini mwao bila viza?
Kwamba magaidi kukiwa na visa hawaingii!!!??? Sijui umetafakari kabla ya kuanfika!? Anyway...Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania
ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Ndo maana nime kuuliza kuwa lini visa ikazuia gaidi?ili upate visa ,lazima ubalozi ufanya vetting ,ukiingia nchini bila visa maana yake first layer of security ya vetting unakua umeikwepa , banana republic pekee ndio itaruhusu hii mambo
Lugha yako uliyo itumia hapo linakudhihirisha ww ni mtu gani.Wewe akili yako mbovu mbona nyumba yako umeweka milango na kufuri ? Kwani mwizi awezi kuvunja kufuri tumia akili acha kutumia kijambia kufikiri kama sa100 ....sheria mbovu na akili mbovu vinaweza kuzarisha wahalifu hata kwa waliokuwa siyo wahalifu ...kuna sheria au kanuni ambazo zina wavutia wahalifu ....jambazi likifanya ujambazi kenya linakuja kujificha tz kirahisi ...pia masikini wanaweza kuvamia nchi nyingine bila ya mpango na kuwasababishia kugeuka kuwa wahalifu mitaani au kujiusisha na nitendo viovu vingine .
hujui ruto ni mpenda sifa na populist?Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania
ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Jao wenye mtazamo huo wa ugaidi hawajielewi.Your reasoning capacity yako iko chini below average......nchi kama Tanzania inauwezo wa kuzuia magaidi kuingia wakitaka?, Nani kakuambia kwamba gaidi anahitaji viza kuingia hapa Tanzania?
Ovyo kabisaNimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania
ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Kwamba hao magaidi wanakosa $20 hadi $50 kwa sasa?Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania
ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Kutokana na makubaliano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya free movement of people wananchi wa nchi mwanachama hahitajiki kuomba visa kutembelea nchi yeyote ambayo ni mwanachama anachotakiwa ni kuwa na kitambulisho rasmi kinachomtambulisha kama raia wa nchi husika mpakani anapewa entry permit ya siku 90Kwa uelewa wako visa ni nini?
Kwa nini unadhani uhitaji visa kwenda Kenya?
Bongo [emoji23][emoji23][emoji23]hii nchi tunajiskia aisee , yaani Kenya wafanye issue kwa kuwa inalenga Tanzania.Plani zote hizi ni ili Tanzania ikosee tu,ijiingize kwenye ujinga huu.
Plani zote hizi ni ili Tanzania ikosee tu,ijiingize kwenye ujinga huu.
Yaani nimeshangaa sana kuna lijinga limoja limekoment hivyo.Bongo [emoji23][emoji23][emoji23]hii nchi tunajiskia aisee , yaani Kenya wafanye issue kwa kuwa inalenga Tanzania.
Nchi ngumu sana hii
Basi kama ni rahisi kama unavyowaza nenda Somalia na hiyo free movement yako!
Kwani kuingia nchini kunahitaji visa , nchi hii wasomali,wacomoro, msumbiji,wacongo mpaka kuna warwanda kadhaa wapo mpaka kwenye vitengo by a usalama na siasa nchini wakijifanya wabongo.Una hoja nzito, usikilizwe. Kwasababu this is not an overnight petty issue to deal with kwa maana vyombo vyetu vya usalama visijekuwa overloaded with huge task itakayopelekea loopholes, unless wa isolate kitengo so special and specific ku deal na hiyo section.
USA na nchi za magharibi unaomba visa unatoa hela ukinyimwa hela imeenda, hebu fikiria hicho kitega uchumi wamejiwekea hawa jamaa cha kula pesa kiulainiMchakato wa kupatikana VISA unaweza kua na mlolongo mrefu mpaka ukaleta dosari.
Mfano. Taratibu za kupata VISA ya Marekani zinaboa sana kama ulikua una plan kwenda vaccation tu unaweza kata tamaa.
Sijajua taratibu za kupata VISA ya kwetu hapa bongo/Kenya
Unajua Europe ni free zone kwa hizo nchi zote. Na uturuki ni let say waarabu Kuna Kazakhstan etc but hatusikii hizo shida why Africa. Hapo Kenya ugaidi upo hata B4 hii free zone. Gaidi akiamua Kuja atafika tu iwe free zone au LA.Una hoja nzito, usikilizwe. Kwasababu this is not an overnight petty issue to deal with kwa maana vyombo vyetu vya usalama visijekuwa overloaded with huge task itakayopelekea loopholes, unless wa isolate kitengo so special and specific ku deal na hiyo section.
Wa kuitwa JABA.Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania? ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Yes wameona kama wao ni ngumu kuwa ajiri Hao vijana wanaomaliza hapo Kenya so wanawatfutia malisho nje ya nchi. Kwangu MI naona heko kwa ruto. Sema nchi hii imejaa mawazo ya kikoloni aka kikomunistiInasaidia kuongeza fedha za kigeni, kwa sababu itatembelewa na watu wengi. Pia inawezekana pia ikaendana na marekebisho chanya katika uwekezaji, na kuweza kuzalisha ajira za kutosha.
Pia wanajiwekea mazingira kwa wananchi wake kukubaliwa huko nje wanakoenda kutafuta fursa; kwa kuimarisha ushirika na nchi za kigeni.