Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

Kuna ukweli Fulani kwenye hoja yako.
Mfano mzuri ulio hai ni Bw. Zakaria Hans Poppe, alienda kusajiri magari yake ya usafirishaji mizigo nje ya Tz kutokana hali mbaya ya kisiasa na kiutawala iliyopo hapa Tz, aliona huko nje nchi jirani kuna Sera nzuri kuliko hapa Tz nyumbani kwake alipozaliwa.
 
Uko sahihi, lakini visa free inakupa hata uwanda mpana wa kutokuzuia vitu vingi. Tuzidi kutafakari.
Hujui mpaka leo Tz ni viza free kwa Kenya Uganda Rwanda Burundi zambia nk, unaona kuna impact gani katika usalama wa nchi au katika uchumi?
 

Matruck mengi tu wanasajili nje ili kuepukana na kodi za hapa kwetu, kodi za ukandamizaji na sio rafiki
 
Tanzania hatuwezi ruhusu hilo hayo maigizo anayo Ruto na Kagame,
Wanataka wakianza kupigana na drc tshekedi wakimbilie bongo,😂😂tumegoma🙏
Somalia ndani ya Jumuia mnakumbuka shuka kumeshakucha?😆😂
 
Hujui mpaka leo Tz ni viza free kwa Kenya Uganda Rwanda Burundi zambia nk, unaona kuna impact gani katika usalama wa nchi au katika uchumi?
Mkuu kama Target ni Wasomali Somalia imeshaingizwa kwenye Jumuia ya EAC na Passport ya Somalia ni VISA FREE kuja Uswazi😆😆😂

Mleta mada ana IQ hafifu sana.
 
We are not special as citizens, but we have a country that has plenty of opportunities waiting to be exploited in contrast Kenya doesn't have.
Waafrika wengi ni wapumbavu lakini nchi zetu ni special sana.

Uspecial kwa kipi hasa? Hii ideology imefanya wabongo wawe mavuvuzela kabisa wanadhani kila mtu anawaangalia wao kumbe watu hawana time kabisa.
 
Mkuu raia wa Afghanistan anaweza kuingia Somalia bila Viza?
 
Acheni ujinga hivi watz tuna matatizo gani?

Kwanza mambo ya visa na masuala ya rasilimali sijui ardhi vina mahusiano gani?

Hivi katika dunia ya sasa hivi unawaza kujifungia fungia kipumbavu kwa faida gani?

Nchi zinazo fanya mambo ya maana kama Dubai , Uingereza, Ufaransa , Qtaar, Urusi , Uturuki zimeondoa visa sembuse hilo linchi lenu linalo nuka uchafu, umasikini, ufisadi ,uzinzi, na kila aina ya upumbavu?
 
Wahanga ni nchi ambayo imetulia zake na Haina matata na jirani wanataka kumvuruga!! Sana sana Tanzania ndio target
 
Kenya itakuwa ni kokolo linalokusanya kila mtu hata waharifu - murderers and wengine wote , Logic ni siple sana, volume ya watalii watakuja na ku-spend fedha humo ndani bila kujalisha kama ni waharifu au la. Labda kama wana system ya kuwatambua na kuwa deport wakifanya uharifu.. hii kitu ni ngumu sana kuachia watu watembee na kuingia kokote kama mkondo wa maji... watajirudu tu muda si mrefu
 
Your reasoning capacity yako iko chini below average......nchi kama Tanzania inauwezo wa kuzuia magaidi kuingia wakitaka?, Nani kakuambia kwamba gaidi anahitaji viza kuingia hapa Tanzania?
Elimu yetu mkuu ndio tatizo ukiwasoma Watanzania ndio kiwango cha Elimu tulipofikia hapo magaidi yanazuiwa na Visa...
 
Wanaingia na Passport mkuu umeelewa hapo au unadhani wataingia kama wanaenda Njombe na Mbeya...matumizi ya passport ina maana watu wanatambulika visa wanapata wanapoingia Mpakani au Airport sio ya kufata ubalozini mnavyoandika mnashangaza sana aisee..
 
Ndio wataingia na passport, sasa nitajie ni passport gani ya nchi gani humu duniani ina maelezo ya criminal convictions? Visa ina mchakato wake na siwapangii kenya cha kufanya, ila siku moja watajifunza ni kwa nini wakoloni wetu ( UK) walipigia kura ya kujiondoa Jumuiya ya ulaya.. ni kokolo la kuwaruhus hata waharifu- passport haina maelezo kama mtu ni mharifu au la.. ndio hoja hiyo.
Na nimeiangalia clip ya Ruto, kasema kuanzia Jan 2024 hakuna visa na wewe unasema kwamba watapata visa airport au mpakani, mbona hii sentensi yako inapingana na maelezo ya Ruto?
 
1.Kukuza biashara na uwekezaji ,Kwa sababu hakutakuwa na extra cost

2.Kuondoa usumbufu usio na lazima,angalia jinsi watu wa migration wanavyosumbuaga.

3.Kukuza Utalii.Watu wengi wanapenda kusafiri Kutoka Nchi Moja Hadi Nyingine au sehemu Moja Hadi Nyingine Kwa Barabara au train hivyo ukiondoa hiyo hakutakuwa na hivyo vikwazo.

4.Kuimarisha Undugu na integration.Umoja ni Nguvu kiasi kwamba itaondoa mivitano mivitano isiyo na msingi.

Mwisho ndio maana Tanzania iliongeza mda wa visa Kwa Wazambia lengo ni Kuimarisha biashara so inatakiwa zifutwe kabisa.

Watu mlio ajiriwa na Serikali hamuwezi usumbufu na kero zilizopo Kwa sababu mnakula pesa bila jasho.
 
Hakuna Nchi zaidi ya Iran ambayo unaweza kuingia bila kugongewa kwenye passport yako wanaposema hakuna visa wanamaanisha wanatoa zile Nchi ambazo unatakiwa uingie kwa kuomba Visa Ubalozini ila ukifika port of entry unagongewa kwa siku ambazo wamepanga kutoa kama sisi tulivyotolewa na Hong Kong tunaruhusiwa kuingia na kukaa siku 90 tu ila ukiweza unaomba unaongezewa siku ila uwe na sababu...swala la Criminal ukiwa unatakiwa utapatikana tuu hayo mambo sema nikuelezee hapa hapa kama hujui..
 
Halafu mimi sijamuelewa Ruto kwenye hili,

Mbona wakenya wenzio juzi kati hapo walikuwa wanaandamana Wachina waondoke Kenya sababu wanajihusisha na fursa ndogo kama vile kuchoma mahindi?

Ruto ameshirikisha ridhaa ya wananchi kweli kwenye hili?

Bunge limeridhia?
 
Nchi za kusini hasa Botswana,Namibia na Zimbabwe walishaondoleana visa na sasa hivi wanataka mtu wenye kitambulisho chochote akitumie kuingia na kutoa Wakenya sisi hatuwezi kuwakosoa kwa mabo yao wapo mbele ya muda kidogo wao hata gari kuingia kuanzia December ni liliotengenezwa kuanzia 2017 wakati kwetu mi dampo harafu kodi kubwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…