Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

HIyo shinyanga nini mzee,sii kila kitu kinafaa kuingia hofu.Ukitaka piga kambi eneo hilo ili uweze kujiridhisha mwenyewe.Ni akina nani na wanafanya nini?
Gari tinted siwez kulizogoleaa mm
 
Ur are right
 
mmh! mbona zimetizama urlekro tofauti.
Kwani kipi cha ajabu gari zikikaa uelekeo tofauti ebu acheni ushamba au hamjawai kuendesha magari au mmeambiwa hapo yako paredi kwamba yakae kwa mfanano
 
ni wrong parking ama?

hata mim tangu tumemaliza jumuiya saa8 usbuhi hapa kwa Mzee msofe, tupo hapa uwanja wa shule tunapiga stori za hapa ni pale...

kuna uwezekano Mwenyekiti kapigiwa simu eeh 🐒
 
Acheni mambo yenu. Watu wana privacy zao. Gari inaweza tumika kama office for business negotiations, wapendanao kuzungumza mambo yao bila kuingiliwa na mtu, kusolve family issues. Waacheni wakimaliza wataondoka.
 
Chukua manati ukiwa mbali usionekane na mtu uyoyote jifunze shabaha lenga mlangoni pale, aidha watashuka kama ni watu wema au wataondoka kama wana yao!

Ka technique haka kanatumika sana kitaa kwetu tukiona gari tusilolielewa tumewafundisha matoto tundu wetu.

Kama hamna manati poleni.
 
Niko pembezoni nasoma mchezo
Nenda gonga dirishani wasalimie. Wakikuuliza una shida gani waambie niliona gari imefika muda mrefu hakuna mtu anayeshuka nikahisi kutakuwa na shida.

Ila andaa watu pembeni usijezamishwa kwenye gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…