Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

Gari tinted siwez kulizogoleaa mm
Kwa jinsi magari hayo yalivyoegeshwa, ingekuwa kwa nchi zenye Hali tete zaidi ya kiusalama Kama vile South Africa, basi ndani ya muda wa dakika moja tu baada ya magari hayo kusimama hapo yangekuwa tayari yamechakazwa vibaya Sana kwa kuogeshwa mvua za risasi za moto. Wala asingetoka hata mtu mmoja akiwa mzima, bali zingetolewa maiti za Watu zenye matundu ya risasi mengi zaidi mwili mzima.
 
Tulikuwa tunasubiri abiria, sisi hatutumii wapiga debe.
 
Kuna mtu wanamtega hapo waondoke naye mmoja anachek kulia mwingine kushoto...

Uenda ni wewe sababu ya thread yako ya wiki iliyopita
 
Muhimu tunzeni watoto wenu huko
 
Nendeni kwa uongozi wa mtaa kwanza , Wawahoji ..
 
Kwa nini wanateka raia na kuwatesa?
 
Watakuwa wanawasiliana kwa simu hao kati ya waliomo gari moja na nyingine.

Kwani wewe ni kada wa Chadema na unaposti posti mitandaoni kwa lengo la kusifia kinyume mhimili mkuu? Basi ukitoka nje na wao wanatoka. Kama unabisha hebu fanya hivyo halafu jirani zako au mkeo ataleta taarifa hapa kuwa umetoweka kuanzia tarehe ya leo.

Anyway ni hofu yenu tu, hayo magari si yana namba za usajiri za Tanzania!! Watakuwa wamefika kula upepo tu. Kwani kuna bango linazuia kupaki magari hapo? Ikiwa jibu ni Hapana basi ondoa shaka na nenda kawasalimie tu na uwaulize kama wanahitaji chochote utawasaidia
 
Huna kazi hadi unafatilia watu kama wameshuka au hawajashuka kwenye magari yao, kwani kuna kosa kisheria mtu kutokushuka kwenye gari?
 
Huna kazi hadi unafatilia watu kama wameshuka au hawajashuka kwenye magari yao, kwani kuna kosa kisheria mtu kutokushuka kwenye gari?
Wewe jamaa ni mjinga kinoma inamana hujui kwa saa hv kinacho endelea kwa serekali hii ya samia
 
Sasa gari kupaki masaa mawili ni shida? Au panalipiwa parking?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…