ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Jiongeze kidogo Kumtafuta Mungu namaanisha kumtafakari kumkaribia na kumjua zaidi. Ila unafahamika umejitia ua atheist usio na faida zozoteHuyo Mungu anatafutwa kwani amepotea?
Ni wewe unaemtafuta Mungu. Mungu hatafuti mtu. Mungu anajua kila kitu ila uelewa wako ni kama ziro mbele ya Mungu.Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu.
Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza kutafakari ukuu wa Mungu na jinsi ulimwengu ulivyo mkubwa. Kila nikipata hali hiyo nahisi kuna kitu kinavuta moyo wangu zaidi kumfikiria Muumba.
Ya pili ni kupenda sana kuangalia documentaries au video za wanyama, ndege Kadiri ninavyoziona ndivyo ninavyozidi kushangaa hekima ya uumbaji. Mara nyingi naishia kusema haya hayawezi kuwa tu yametokea bila mpangilio nadharia nyingine zote zinakosa nguvu naona kabisa hazipatani na akili.Mungu anamuita kila mtu kwa njia tofauti, ila hizi ni dalili mbili ambazo mimi nimekuwa nikiziona mara kwa mara.wewe je dalili gani au ishara gani hukufanya umfikirie MUngu at least dakika 3..
Kwa hiyo huyo Mungu anakuacha upitie vikwazo ili akuonyeshe njia?Ni mambo mengi sana itoshe kusema yeye ni Mkuu.
Kuna nyakati Huwa napitia vikwazo ila nikisema Mungu nioneshe njia Huwa ananionesha na nasaidika kadri ya viwango vyangu vya Imani..
God knows Me.
Kama Mungu hatafuti mtu, Kwa nini binadamu anajihangaisha kumtafuta Mungu?Ni wewe unaemtafuta Mungu. Mungu hatafuti mtu. Mungu anajua kila kitu ila uelewa wako ni kama ziro mbele ya Mungu.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu.
Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza kutafakari ukuu wa Mungu na jinsi ulimwengu ulivyo mkubwa. Kila nikipata hali hiyo nahisi kuna kitu kinavuta moyo wangu zaidi kumfikiria Muumba.
Ya pili ni kupenda sana kuangalia documentaries au video za wanyama, ndege Kadiri ninavyoziona ndivyo ninavyozidi kushangaa hekima ya uumbaji. Mara nyingi naishia kusema haya hayawezi kuwa tu yametokea bila mpangilio nadharia nyingine zote zinakosa nguvu naona kabisa hazipatani na akili.Mungu anamuita kila mtu kwa njia tofauti, ila hizi ni dalili mbili ambazo mimi nimekuwa nikiziona mara kwa mara.wewe je dalili gani au ishara gani hukufanya umfikirie MUngu at least dakika 3..
Huyo Mungu alikwambia ana uhitaji wa kutafutwa?Jiongeze kidogo Kumtafuta Mungu namaanisha kumtafakari kumkaribia na kumjua zaidi. Ila unafahamika umejitia ua atheist usio na faida zozote
Akijitahidi kukujibu atakuambia Mungu hachunguziki Sasa kama hachunguziki maana yake hayupo.Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
Mamlaka yepi, mwanzo upi na mwisho upi???Mungu ni Nguvu Kuu Yenye Mamlaka Mwanzo na Mwisho!! Ni Kheri kwao wamtafutao maana kilichozaliwa na mwanamke hakikupewa siku nyingi za kuishi katika ulimwengu huu wa dhambi
Huwezi kuelewa kwasababu hata hiyo Imani ya kuwa Mungu yupo huna.Mamlaka yepi, mwanzo upi na mwisho upi???
Karibu katika dini ya Uislam.Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu.
Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza kutafakari ukuu wa Mungu na jinsi ulimwengu ulivyo mkubwa. Kila nikipata hali hiyo nahisi kuna kitu kinavuta moyo wangu zaidi kumfikiria Muumba.
Ya pili ni kupenda sana kuangalia documentaries au video za wanyama, ndege Kadiri ninavyoziona ndivyo ninavyozidi kushangaa hekima ya uumbaji. Mara nyingi naishia kusema haya hayawezi kuwa tu yametokea bila mpangilio nadharia nyingine zote zinakosa nguvu naona kabisa hazipatani na akili.Mungu anamuita kila mtu kwa njia tofauti, ila hizi ni dalili mbili ambazo mimi nimekuwa nikiziona mara kwa mara.wewe je dalili gani au ishara gani hukufanya umfikirie MUngu at least dakika 3..
it is true broHii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu.