Kuna ishara gani ambazo hukufanya uone wewe na Mungu mnatafutana sana?

Kuna ishara gani ambazo hukufanya uone wewe na Mungu mnatafutana sana?

Kama Mungu hatafuti mtu, Kwa nini binadamu anajihangaisha kumtafuta Mungu?

Kwani huyo Mungu anahitaji kutafutwa?
Tunamtafuta Mungu kwa maombi bila kujitambua!!! Ni kujikomba mbele yake. Mf. Timu ya mpira inaomba ishinde! Ni juhudi zako tu Mungu haingilii, akupe wewe ushindi ina maana ana upendeleo? Kuanzia leo usimtafute, yeye keshapanga kila kitu.
 
nimejua kwakua kajieleza kwenye kitabu kitukufu na wala hashirikishwi kwa mtu kuabudia kitu kisichokua mungu na ni adhabu kali kwa wale ambao tutamshilikisha M'MUNGU
Kitabu kitukufu kipi kati ya hivi;

Quran ya waislamu.

Biblia ya wakristo.

The Vedas ya wahindu.

Rastafar Bible ya Rastafarians.

Tripitaka ya wabudha.

The Kojik ya washinto kule Japan.

The Guru Granth Sahib ya wasikhism.

Tao te ching ya wachina.
 
Kitabu kitukufu kipi kati ya hivi;

Quran ya waislamu.

Biblia ya wakristo.

The Vedas ya wahindu.

Rastafar Bible ya Rastafarians.

Tripitaka ya wabudha.

The Kojik ya washinto kule Japan.

The Guru Granth Sahib ya wasikhism.

Tao te ching ya wachina.
kwa upande wangu QUR'AN aliyo shushiwa mtume muhamad swallallahu aleih salam
 
Back
Top Bottom