min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wapi nimeandika nimedhani?kwani wewe unavyo dhani mungu anatafutwaje?
Wapi nimeandika nimedhani?kwani wewe unavyo dhani mungu anatafutwaje?
nimekuuliza swali, kwahiyo jibu nililokuuliza kijana.Wapi nimeandika nimedhani?
Usinipangie namna ya kujibu , nyumbu wewenimekuuliza swali, kwahiyo jibu nililokuuliza kijana.
haina shida basi ukijisikia jibu huwezi acha.Usinipangie namna ya kujibu , nyumbu wewe
Upo sahihihaina shida basi ukijisikia jibu huwezi acha.
Wewe jamaa mimi ni mshabiki namba moja wa nyuzi zako humu , ila ulivyo amua kuwa chawa nilikuona mjinga snaWhat I understand GOD is really
Na muda muzuri to speak with him saanane usiku mpaka saatisa.
It's love... It's about wanting to know love to understand the mysteries of love.. Upendo una nguvu sanaHii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu.
Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza kutafakari ukuu wa Mungu na jinsi ulimwengu ulivyo mkubwa. Kila nikipata hali hiyo nahisi kuna kitu kinavuta moyo wangu zaidi kumfikiria Muumba.
Ya pili ni kupenda sana kuangalia documentaries au video za wanyama, ndege Kadiri ninavyoziona ndivyo ninavyozidi kushangaa hekima ya uumbaji. Mara nyingi naishia kusema haya hayawezi kuwa tu yametokea bila mpangilio nadharia nyingine zote zinakosa nguvu naona kabisa hazipatani na akili.Mungu anamuita kila mtu kwa njia tofauti, ila hizi ni dalili mbili ambazo mimi nimekuwa nikiziona mara kwa mara.wewe je dalili gani au ishara gani hukufanya umfikirie MUngu at least dakika 3..
uko sahihi, mana ndio muda mzuri wa ibadaWhat I understand GOD is really
Na muda muzuri to speak with him saanane usiku mpaka saatisa.
Kama hujajua, Ulijuaje Quran ni kitabu sahihi?sijajua ila kila mtu na imani yake.
kwa kusomaKama hujajua, Ulijuaje Quran ni kitabu sahihi?
na ndo huyo huyo alie kuumba na wewe.Mungu yupi sasa aliyeumba mwezi na dunia?