Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Tunamtafuta Mungu kwa maombi bila kujitambua!!! Ni kujikomba mbele yake. Mf. Timu ya mpira inaomba ishinde! Ni juhudi zako tu Mungu haingilii, akupe wewe ushindi ina maana ana upendeleo? Kuanzia leo usimtafute, yeye keshapanga kila kitu.Kama Mungu hatafuti mtu, Kwa nini binadamu anajihangaisha kumtafuta Mungu?
Kwani huyo Mungu anahitaji kutafutwa?
hatafutwi eti kapotea, bali anatafutwa kutokana na imani ya mtu kua mungu yupo, SIJUI UMEELEWA KIJANA...Huyo Mungu anatafutwa kwani amepotea?
vizuri sana kiongozi na mungu akubalikiNi mambo mengi sana itoshe kusema yeye ni Mkuu.
Kuna nyakati Huwa napitia vikwazo ila nikisema Mungu nioneshe njia Huwa ananionesha na nasaidika kadri ya viwango vyangu vya Imani..
God knows Me.
Jamani si tilishakubaliana Mungu anaishi ndani yetu huku akiwa anajua kila kitu?
Au mimi ndio nimechanganyikiwa
Demu akinikataa, Hua nashukuru sana na kuona Mungu ameniepusha na Kaswende
Mungu hayupo.hatafutwi eti kapotea, bali anatafutwa kutokana na imani ya mtu kua mungu yupo, SIJUI UMEELEWA KIJANA...
Hakuna Mungu aliyepanga chochote.Tunamtafuta Mungu kwa maombi bila kujitambua!!! Ni kujikomba mbele yake. Mf. Timu ya mpira inaomba ishinde! Ni juhudi zako tu Mungu haingilii, akupe wewe ushindi ina maana ana upendeleo? Kuanzia leo usimtafute, yeye keshapanga kila kitu.
inavyoonekana unataka kua kama watu wa MUSA, ila umatakiwa kujua mungu yupo na kunavitu vingi vinadhihilisha uwepo wakeMungu hayupo.
Kama yupo ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea.
Sio wewe umtetee na kumuelezea.
Aje yeye mwenyewe kama yupo.
Kama Mungu yupo, kwa nini unahangaika kumuongelea?inavyoonekana unataka kua kama watu wa MUSA, ila umatakiwa kujua mungu yupo na kunavitu vingi vinadhihilisha uwepo wake
hana sifa ya kibinadamu na wala hashirikishwi na kitu chochote. TAMBUA HILOKama Mungu yupo, kwa nini unahangaika kumuongelea?
Anashindwa nini kujitokeza mwenyewe kujidhihirisha na kujitetea?
Ulijuaje hana sifa za kibinadamu?hana sifa ya kibinadamu na wala hashirikishwi na kitu chochote. TAMBUA HILO
nimejua kwakua kajieleza kwenye kitabu kitukufu na wala hashirikishwi kwa mtu kuabudia kitu kisichokua mungu na ni adhabu kali kwa wale ambao tutamshilikisha M'MUNGUUlijuaje hana sifa za kibinadamu?
Ulimuona wapi huyo Mungu ukajua hana sifa za kibinadamu?
Kitabu kitukufu kipi kati ya hivi;nimejua kwakua kajieleza kwenye kitabu kitukufu na wala hashirikishwi kwa mtu kuabudia kitu kisichokua mungu na ni adhabu kali kwa wale ambao tutamshilikisha M'MUNGU
kwani wewe unavyo dhani mungu anatafutwaje?Endeleeni kumtafuta Mungu , mkimpa mje mthibitishe
kwa upande wangu QUR'AN aliyo shushiwa mtume muhamad swallallahu aleih salamKitabu kitukufu kipi kati ya hivi;
Quran ya waislamu.
Biblia ya wakristo.
The Vedas ya wahindu.
Rastafar Bible ya Rastafarians.
Tripitaka ya wabudha.
The Kojik ya washinto kule Japan.
The Guru Granth Sahib ya wasikhism.
Tao te ching ya wachina.
Kila mtu akisimama na upande wa kitabu chake, Kitabu sahihi kitakuwa ni kipi?kwa upande wangu QUR'AN aliyo shushiwa mtume muhamad swallallahu aleih salam
sijajua ila kila mtu na imani yake.Kila mtu akisimama na upande wa kitabu chake, Kitabu sahihi kitakuwa ni kipi?