Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Brother nimekuelewa mnoo...Nalijua hilo
Ndio Maana nikasema Demi atafaidi sanaa kila Eneo.
Brother hapa Mjini Uko vema mnoo!
1.Handsome
2.Pochi uko Vema Mnoo
3.Mcheshi Hupendi Makuu
4.Huwa Unapenda Kufurahi....Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2014 nadhani Tuliwahi Kukutana Sehemu Na Kina Mpembuzi,Madame B,Paloma pale Maananyamala nadhani,Ukiwa Umepaki Gari yako Kali Pick up ford New Model...
Daa nikasema Mkuu ningekuwa na Dada ningekupa bure kaka!
Pale Mezani kila Mtu alikuwa anakusifia tuu Kaka!
Ndio Maana Nassma Huyu Demi atakula mema ya Nchi sanaa kama akijisalimisha 100Kwako. Na Tuisheni umpe[emoji12]
Kaka Sioni wakushindana na wewe hapa Mjini Dar es salaam.Nasema HAKUNA.
Cc: Warembo wa JF
Khaa hizi sifa zote za huyo babu? Utakuwa ulimuona mtu mwingine wewe

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa nampango wa kumtafutia wafiraji tu basim
Kifiro tena
giphy.gif
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Subiri aletewe UKIMWI ndio utamwambia.
 
Khaa hizi sifa zote za huyo babu? Utakuwa ulimuona mtu mwingine wewe

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Daaa[emoji3516][emoji12][emoji12][emoji851][emoji30][emoji3]
Acha kumsingizia Babu wewe...
Huyu Jamaa unajua basi tuu..
Kama Kuna Kitu amekunyima naomba arekebishe Fasta...
Huwa ni Mstaarabu sana na Sio Mchoyo hili nina Uhakika nalo 100%
Cc😡Asprin
 
Kizee kistaafu cha miaka 70 huko kimetoa wapi hizo sifa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom