You boast about betraying a fellow brother-in-arms by sleeping with his wifeKifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye bodaboda Mimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
Jinga kabisa wakati wako utafika utajua maana ake pumbavu kabisaSawa mkuu ila mke wake mwenyewe ndio ananishobokeaga nilishamkataaga mara kibao ila akiniona,ni shobo
Siku hizi mnawapaka mafuta tu sioπ€£Tunamuonya siku hizi hakuna UGONI, kesi za ugoni zilikuwa zamani. π
Am not sure if heβs so familiar with the discourseYou boast about betraying a fellow brother-in-arms by sleeping with his wife
Siku hizi mnawapaka mafuta tu sioπ€£
Wenzako hawapendi kugongewa shauri yako kijana sharobalo!
Alafu sikuhiz hata sisikii kabisa imekuwaje watu wamekomas na usalit au vipiTunamuonya siku hizi hakuna UGONI, kesi za ugoni zilikuwa zamani. π
AU tumuache tu sharobalo!Kugonga ni kuzuri ila sisi tunamuonya tuu kama mshikaji mwenzetu. π
Alafu sikuhiz hata sisikii kabisa imekuwaje watu wamekomas na usalit au vipi
Mbona unahasira mzee
Mtoto mjinga kama viongozi wake wa serikali ya mtaa!Sawa mkuu ila mke wake mwenyewe ndio ananishobokeaga nilishamkataaga mara kibao ila akiniona,ni shobo