Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Unique Flower

Kisa chenyewe kwa ufupi.

Kuna mtu mzima fulani alikuwa anafamiana na mtu mwema mwingine. Katika mazungumzo siku moja akagusia suala la kuoa,yule mtu mzima akamwambia nina binti yangu,nitamtuma kwako akuletee kitambaa,kisha utampa majibu kwa munasaba wa kitambaa hicho kama kizuri kinafaa au la. Yaani kama kinafaa (Yule mja mwema atampa jibu huyo binti kwamba nenda kamwambie baba yako "Kitambaa nimekiona kizuri sana kina nifaa" au kinyume chake,yaani jibu la kitambaa ni huyo binti) au la. Binti aka peleka kile kitambaa,yule mja mwema akamwambia "Nenda kamwambie baba yako kwamba kitambaa nimekion na nimekipenda mno". Binti hajui kama kitambaa ni yeye.

Sasa huenda mama yako anaishi katika busaea hizi. Fatilia.

Shukrani.
 
Mbona kama unajilengesha mwanangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…