Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Na wewe muongalie kimahaba...

Kuna binadamu wapo hivyo, ukiwa unaongea nae wana concentrate haswa usoni mwako eyes to eyes...
Unaweza dhania vingine...
 
Inaelekea unataka akutongoze, kwanini usimualike mahali Kwa dinner ili kumshukuru kwa “msaada” wake kisha nawe ukaanza kumuangalia “kimahaba”?
Mmh kuna watu jamani hapana kwakweli
 
 
Ukijiroga ukamwambia hatokataa
Atapiga atasepa,hatupendagi Vitu rahisi rahisi,tumezoea kuinua Vitu vizito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…