Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Hujaolewa af mara msemage mmeolewa sehem zingineπŸ˜… hutakiwi kukosa nguvu huyo jamaa ni mchicha mwiba!
 
Salama Chief habari yako
Mm sjambo hofu kwako uliyepo mbali na upeo wa macho yangu, nimepatia au ni macho yako wewe, nimekumbu enzi zile za kuandika barua una muagiza rafiki yake na mrembo unae mhitaji kishule shule miaka hiyo tena shule ya msingi.
 
Hahahahahhaha kwamba anakutizama tu kimahaba!
Ukute ni macho yake, na alikuwa anakusikiliza kwa makini.

Sasa sio issue, we umemwelewa, sio?

Anza kumwita mpenzi.
As in umekula mpenzi?
Umeshindaje mwaya.
Asipomind wa kwako huyo
Heheheh ajimilikishe tu
 
Unavaaje hasa huku kwenye manyonyo tuanzie hapo uchunguzi,halafu inakuaje hao wadada wa kazini kwenu wanakonyezana kila unapoangaliwa kimahaba,kingine hiyo ofsi yenu inahusika na nini isijekuwa na wale wadada wa hotel management
 
vipi umepata div ngapi? umefanya application ya chuo, unaonekana very innocent, hujatujua bado vizuri, tumia ubongo wako vizuri kabla ya kudate na mwanaume,
.
.
ila umeniomba ushauri, kama namba zake unazo, muulize ratiba zake then kama anaratiba za kutoka weekend!
.
akikubali jipange, toka kama mdada ambae anajiheshim, vaa kwa staha, pendeza ila si kujiwekea mambo meengi,
.
.
jioneshe ni mwanamke aliekomaa kiakili, unaweza kuwa mama wa familia, usiwe na haraka nenda taratibu, ipo siku mtakubaliana na mtaanza kudate!!
.
.
Uzinzi ni mbaya, jitahidi kujiheshim.. wanaume hufurahi wanavyompata mwanamke kirahisi na atakutumia sana lakini hupenda kuish na mwanamke anautunza mwili wake na kuepuka ngono kabla ya ndoa. akiuzoea mwili wako hatakuoa!!
 
Wengine macho yetu yako ivo.
Naweza kukuangalia usoni ukahisi nataka nikuchome.
Kumbe hamna kitu.
 

Mimi ni nani nipingane na tafiti.

Women love drama ukiwa mtu wa vidrama utagonga warembo mpk uchanganyikiwe.

Wenzako walikuwa wanabisha huko ista.Kasome comment zao

Hapo ndugu yangu umekutana na mtongozaji mzuri na hapo ndo unatongozwa subiri ushikwe mkono ukapigwe pumb* tu.Usidhani kunakutongozwa kwingine zaidi ya huko
 
Kwani wanaume wenzangu huko kuangalia kimahaba mnaangaliaje [emoji23][emoji23]
Au kuna sura na sura, naweza kudhani nakuangalia kimahaba kumbe nakutisha [emoji23][emoji23]
Bila shaka hutegemea sura na sura, kama sura yako ngumu usijaribu kabisa [emoji23][emoji23] ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Wagogo kwa kujitongozesha kwa wanaume hamjambo.
 
Aki hit and run mnaanza kuja kulia lia hapa. Pengine ana mchumba huko anakuonea huruma kwamba akikukaza mwisho wa siku atakuacha lkn wew hufikirii. Unaongozwa na akili za nyege tu... ngoja akunyooshe
Ahhahahaha tashiwishi za Profesa Kabudi πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚
 
Kwahiyo umeona uje unianzishie uzi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…