Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye.
Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa, pesa za kununua wapinzani nani anatoa haya ni mabilioni ambayo wanaogopa kuyakosa.
Rais Samia asipokuwa makini hawa jamaa watahakikisha kuna fujo ili waendelee na biashara zao