Na kumuweka muuza vingamuzi.Huo ndio ukweli halisi,Tangu makamba ameingia wizara ya Nishati kazi kubwa wanayoifanya Msiga Gang ni kutengeneza mazingira ya kupata 10- 20% peke yake.
Ndio maana kazi ya kwanza ilikuwa ni kuipangua safu yote ya wataalamu.
Opec haihusiki huko Zanzibar , mbona kwenyewe hayapandi ?Mafuta wanapandisha bei OPEC
Swadakta !TISS watasema nini kama kazi yao kuu ni kujua CHADEMA wana mikakati gani juu ya kuchua nchi? Hivi bado mna imani na hiyo taasisi? Kama walio wazi tena juani PolisiTZ wako hivyo uwaonavyo je TISS walio gizani?
Tiss wepi ndugu hawa hawa wanokimbizana na Chadema au tuwasubiri wengine??TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.
Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Tena wengi wanaokotezwa uvccm..TISS ni jumuiya ya Ccm, sawa na Uwt, Wazazi, etc.
..wako kwa ajili ya kulinda maslahi ya Ccm na watawala.
..utetezi wa maslahi yetu ungeweza kutoka bungeni, lakini huko nako Ccm wako asilimia 93%.
Unataka TISS wafanye nini?TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.
Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.
Brother timu za wapikaji ziko kazini anza kujipanga mapema tu generetor la umeme au solar back upBe the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Kuna ruzuku...Opec haihusiki huko Zanzibar , mbona kwenyewe hayapandi ?
Nchi yetu iko salama ni hao TISS. Wewe wa mjini na mimi huku kijiji tunafurahia usalama wa nchi yetu kwa sababu ya hao TISS. Kuna raia wa DRC nimekutana naye juzi anashangaa jinsi Tanzania ilivyo salama. Kama raia wa kigeni wanasifia mimi na wewe ni nani tusiwe na imani na taasisi za dola? #Tuviheshimu vyombo vyetu vya dola.πππTISS watasema nini kama kazi yao kuu ni kujua CHADEMA wana mikakati gani juu ya kuchua nchi? Hivi bado mna imani na hiyo taasisi? Kama walio wazi tena juani PolisiTZ wako hivyo uwaonavyo je TISS walio gizani?
Acha upuuzi wewe una usalama kwaajili yanini?Nchi yetu iko salama ni hao TISS. Wewe wa mjini na mimi huku kijiji tunafurahia usalama wa nchi yetu kwa sababu ya hao TISS. Kuna raia wa DRC nimekutana naye juzi anashangaa jinsi Tanzania ilivyo salama. Kama raia wa kigeni wanasifia mimi na wewe ni nani tusiwe na imani na taasisi za dola? #Tuviheshimu vyombo vyetu vya dola.πππ
Mimi sijui kwa nini moderators wanamwacha huyu clown kuchafua kila thread. Unajua huyu jamaa hayuko serious kwenye mijadala. Yeye anafanya utani kila sehemu. Mpumbavu sana.Umeelewa mada?
Uko sahihi kiongozi wajinga watakubishia.Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.