Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

Matusi yanini? Makasiriko yanini? Kwani mi ndo nilimtwaa Magufuli? Haya hayupo we unatakaje? Hoja yangu ni kwamba kuna hasara kutegemea kaliba za watu binafsi.

Huyo hakuwatia adabu kina Ruge bali alitaka chochote kitu toka kwao. Si yeye alianzisha plea bargaining?
Wewe suluhisho lako katika hili ni lipi? Tumfufue Magufuli?
 
Chama kushika hatamu ndio kinaimaliza hili Taifa. Security organs ni muhimu kutengwa na politicians ili wawe huru kutetea Taifa!
 
Ndugu Zangu
Kwenye Utawala Wangu Nita~Deal Na Wale Wanafungua Maji Yatoke Bwawa La Mtera Ili Wao Wauze Generator. Nawaambia Wajipanga
Nimejipa Kazi Ya Mtumbuaji Majipu Sitaogopa Usaha

Jipu Likikaa Popote Tutalitumbua
Shingoni

TUmboni
Mgongoni


By Mzilankende Mnyago
 
TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.

Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.
Tatizo si mtu kutumika... Bali ni mfumo ndio unamfanya mtu kutumika...
hata kama alikuwa hana lengo la kutumika akishaingia kwenye mfumo basi anakuwa mtumikaji...
na unatakiwa uwe na akili nyingi mno kudeal na huo mfumo, maana wapo waliojaribu kuondoa huo mfumo mwisho wa siku wameishia kuzikwa...
 
Inabidi iwe salama ili iliwe vizuri, huo ndio mfumo walioamua kuutumia.
 
Mataga umeanza kuukubali ukweli!
Chama kushika hatamu ndio kinaimaliza hili Taifa. Security organs ni muhimu kutengwa na politicians ili wawe huru kutetea Taifa!
 
Ukubwa wa nchi ya Congo ni Mara mbili na nusu ya Tanzania na kitu ambacho hujui ni kuwa Congo nzima ni majimbo mawili tu ndio kuna vurugu ...ndani ya drc kuna majimbo watu hawajui kabisa vita inafananaje na hawajawai hata kusikia mlio wa risasi

Kinshasa ni salama kuliko makele kigoma
 
ccm yoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
makamba yoyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Bora mleta mada umeliona hilo, na ile timu IPTL na Escrow bado ipoipo sana
 
Mataga umeanza kuukubali ukweli!
Sijawahi kuwa chama chochote. Akitokea kiongozi mwenye quality ninazozikubali namuunga mkono. Sasa ukiwa shabiki wa vyama lazima upate tabu na mimi.
 
Halafu sisi tukipiga spana wanatula ban... last month nimepigwa ban kisa nimesema 'hili nalo mkalitizame' last two weeks nilipigwa ban kisa nimesema Zitto and his team ni takataka...
'hili nalo mkalitizame'
 
TISS watasema nini kama kazi yao kuu ni kujua CHADEMA wana mikakati gani juu ya kuchua nchi? Hivi bado mna imani na hiyo taasisi? Kama walio wazi tena juani PolisiTZ wako hivyo uwaonavyo je TISS walio gizani?
Siku hii nchi ikikombolewa kutoka mikononi mwa mafisi ccm TISS inabidi iwe taasisi ya kwanza kufutwa na kusukwa upya
 
Hiyo ilionekana siku nyingi. Mikataba kama ya IPTL ndiyo yenye ulaji wa uhakika kuliko njia nyingine za kifsadi. Kumbuka swala la Rugemalira na mamilioni yaliyogawanywa. Hta kama bwawa la Nyerere lingeisha bado ingejengwa hoja kuwa kuna haja ya kuwa na mwekezaji atusaidie kuliendesha ili mradi pesa ipigwe. Au tumekuwa shamba la bibi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…