GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 2,017
- 7,406
Write your reply...vyombo vingi vya magharibi haviongei ukweli kuhusu hali ilivyo israel ila ukweli inchi imebomolewa vibaya mno na kama wakiacha ipite week hakuna jengo lolote litakalobaki limesimama kwenye miji yote mikubwa ya tel aviv jerusalem na haifa
Kumuelimisha Mtu aliyejiandaa kubisha kwa kile anachokiamini ni sahihi na kibaya zaidi hajui kuwa hajui ni sawa na kuufukuza upepo.asa kama huna mpango wa kuelewa utaelewaje
Nadhani uko sahihi!Marekani tayari ameshasema.
Hili lilikuwa suala la muda tu, maana Netanyahu alushaomba na naamini ilikuwa sehemu ya Mpango na inawezekana hata madai ya ubalozi wa Marekani Tel Aviv kushambuliwa na Iran 🇮🇷 ni staged to get the AMERIAN involved as soon as possible.
Iran government is gone for good, I don't think they can hold for any time longer. Israel doesn't have GBU to penetrare deeper underground, the involvement of USA primary is for this job of annihilating the Iranian Nuclear sites.Marekani tayari ameshasema.
Hili lilikuwa suala la muda tu, maana Netanyahu alushaomba na naamini ilikuwa sehemu ya Mpango na inawezekana hata madai ya ubalozi wa Marekani Tel Aviv kushambuliwa na Iran 🇮🇷 ni staged to get the AMERIAN involved as soon as possible.
Hii ilipangwa muda Mrefu, MAREKANI amehamishia 30% of it's Spirit Bombers to the GUAM ISLAND mwanzoni mwaka huu kwa ajili ya hii shughuli. Trump ameondoka ghafla kwenye Mkutano wa G7 meaning he gonna declare war on Iran within 24 hrsNadhani uko sahihi!
Maskini Ayatollah ndo basi tena.
Ingekuwa ni Israel peke yake tu, angeweza ku survive.
Ila Marekani ikiingia…..ndo basi tena!!
Iran angekuwa mjanja angejitengeneza kwanza kiuchumi,kijasusi na kijeshi kwa mapana yake sio kutegemea ballistic missile peke yake ndio utegemee utamshinda Israel au Marekani. Baadae ndio aanze mambo ya nuclear.
Na Trump kaongea huko leo kuwa Iran nuclear reactors must be dismantledIran government is gone for good, I don't think they can hold for any time longer. Israel doesn't have GBU to penetrare deeper underground, the involvement of USA primary is for this job of annihilating the Iranian Nuclear sites.
Hiyo haiondoi ukweli kuwa mwisho wa Ayatollah umefikaIran has been under brutal sanctions regime since 1979. And compared to her Arab counterparts, Iran has done an incredible job in surviving.
Na huyo ndo alikuwa anajigamba kuwa ndo Rais ambaye wakati wa muhula wake wa kwanza, Marekani haikuingia kwenye vita yoyote ile.Hii ilipangwa muda Mrefu, MAREKANI amehamishia 30% of it's Spirit Bombers to the GUAM ISLAND mwanzoni mwaka huu kwa ajili ya hii shughuli. Trump ameondoka ghafla kwenye Mkutano wa G7 meaning he gonna declare war on Iran within 24 hrs
Hiyo haiondoi ukweli kuwa mwisho wa Ayatollah umefika
Hizo ni historia tuu,watu wanajali maslahi yao ya leo na keshoAyatollahs and his mullahs may be decapitated even tomorrow, but a bitter pill to swallow is that Iranians have been there for over 3000 years. They'll outlive Americans, as they did Romans, Mongols and the British 🤣🤣
Hii vita toka ilipoaanza mpaka hapa ilipofikia ni ya Wamarekani, Waisrael ni actors tu, wakitekeleza amri ya Marekani.Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.
Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.
Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.
Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo wa JWTZ 🤣].
Marekani ina makombora ya kuweza kubomoa mahandaki ya Iran yaliyoko chini sana ardhini.
Israel hana hizo bunker busters.
Hii pia ni ushahidi mwingine kuwa Israel bila Marekani hamna kitu kabisa.
View: https://x.com/breeadail/status/1934753492691812700
Kweli kabisa. Wenzetu huwa wapo mbele zaidi kimahesabu kuanzia miaka 20, 30 hata 50 kabla ya kufanya ishu yoyote kwa kuangalia faida na hasara.Hii ilipangwa muda Mrefu, MAREKANI amehamishia 30% of it's Spirit Bombers to the GUAM ISLAND mwanzoni mwaka huu kwa ajili ya hii shughuli. Trump ameondoka ghafla kwenye Mkutano wa G7 meaning he gonna declare war on Iran within 24 hrs
Hizo ni historia tuu,watu wanajali maslahi yao ya leo na kesho
Ningeandika mimi hivyo, ingekuwa nogwa 🤣.A conflict with Iran predates both the Ayatollah and the Shah. It started with US hijacking Iranian democracy by the overthrow of Iranian Prime Minister Mohammed Mossadegh (An Iranian Jew).
If you think killing the Ayatollah and his Mullahs will change a thing, then you're deeply out of touch with reality 🤣🤣
Uhalisia THE CAPITAL OF THE WORLD INAHAMA KUTOKA WASHINGTON DC KWENDA JERUSALEM...Na huyo ndo alikuwa anajigamba kuwa ndo Rais ambaye wakati wa muhula wake wa kwanza, Marekani haikuingia kwenye vita yoyote ile.
Pia alikuwa anadai mara kwa mara wakati wa kampeni kuwa endapo angekuwa bado ni Rais, vita vya Urusi na Ukraine visingetokea.
Leo kabadilika kabisa na anajiandaa kuivamia nchi huru.
MAGA imegawanyika!
Tucker Carlson hataki vita. Marjorie Taylor Green hataki vita.
It’s getting very interesting….
Let the WOLRD BRACE FOR ANOTHER TURMOILNa Trump kaongea huko leo kuwa Iran nuclear reactors must be dismantled