Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

Tayari US anaenda kumsaidia mdogo wake maana hali mbaya, katoa angalizo watu walio mji mkuu wa Iran waondoke.
 
Netanyahu ndo anamuendesha Trump so it's obvious atajiunga naye.
 
Mimi naamini Iran hana silaha za Nuclear, angekuwa nazo wangemuheshimu kama North Korea. Hizo propaganda za Nuclear ni kutafuta sababu za kumpiga Iran, ukiwa na Nuclear US hasogezi pua yake.
 
Trump na Netanyahu ni pete na kidole na Israel na Marekani ni kama National na Panasonic huwezi kuwatenganisha.

Hii ni mission iliyoandaliwa muda mrefu sasa hivi ndio implimetantion yake sasa, target ni kuupinduwa utawala wa Ayatollah na sasa wanamla kichwa any time utasikia Ayatollah excuted in Tehran.
 
Mimi naamini Iran hana silaha za Nuclear, angekuwa nazo wangemuheshimu kama North Korea. Hizo propaganda za Nuclear ni kutafuta sababu za kumpiga Iran, ukiwa na Nuclear US hasogezi pua yake.
Muulize Pakistan chini ya Pervez Musharafu walipogoma kushirikiana na Marekani kuwapiga Taliban alipigwa biti gani na wakina Bush Jr,Bolton, Rumsfield na Rice. Pamoja na Pakistan kuwa na nuclear zake alinywea tuli akatoa ushirikiano 100%. Ilipigwa simu moja kutoka DC kuwa tutaigeuza Pakistan tambarare.
 
Mwamba ameisha waonya raia wa Tehran kuondoka haraka. Na tukumbuke kuwa tumefika hapa kwa sababu ya Quran na mafundisho potofu ya uislamu juu ya wayahudi, wakiristo na dini nyingine zisizo za kiislamu. Ayatollah Khamenei akaungana na muslim brotherhood ambao wamepigwa marufuku Saudia, UAE, Bahrain na Egypt kuiangamiza Israel
Twitter ya Khamenei

Onyo la Trump raia waondoke haraka
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Israel ameonesha umwamba sana katika inteligensi na vita ya akili kusalimisha rai wasio na hatia.
 
Wanadai kila rais wa USA lazima awe na vita yake!
Hatariiiii
 
Hahahah siku TZ mjichanganye vitumwe vitu live muone Posta itakavyogeuzwa kurudi Posta ya enzi za Mkoloni kwa makombora yasiozidi kumi tu😁.
 

View: https://youtu.be/7Ekcc8pSrAU?si=YhOXH0K2xQOimAdz
 
Chai hizi, wewe ulimuuliza Pervez?,hii vita ya Iran ukiwasikiliza wachambuzi wa maswala ya kimataifa like Prof Jeffrey Sachs ( alikuwa UN advisor Annan na Antonio Gutares, Havard product) ,Prof Norman Finkelstein walishaiona miaka zaidi ya 20 iliyopita, plan ilikuwa nchi saba sita tayari,iliyobakia ni Iran. Iran hana Nuclear, huwezi kuligusa taifa lenye Nuclear, hata US analijua hilo,Nuclear huwezi kuiblock/Intercept kwa namna yoyote ile.
 
Kwa nn Iran inashambuliwa na sio Misri, Pakistan au Iraq? Na kwa nn wakati huu? Umeshapata mda ukatafakari haya maswali?
 
Ur
Urusi hataweza kumuacha Iran?
 
Iran kwa maneno yao walisema wataifuta Israel
Kwa maneno yao walisema wanataka zalisha mabomu ya Nukes

Israel kasanuliwa na IAEA kuwa wale jamaa wanakaribia sana ni wiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…