Baada ya Iraq na Afghanistan kuvamiwa nchi hizo zilivurugika kabisa mwishowe wavamizi wakaziacha kwa fedheha.Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.
Alafu baada ya hapo wageukie China eeehhh...This is the only chance to remove Iran and its proxies as a threat to Israel and the US...
China hawezi kusaidia nchi yoyote kijeshi dhidi ya Marekani, kwa kifupi hakuna nchi inataka vita dhidi US labda kama nchi imevamiwa yenyewe lakini si kusaidia nchi nyingine dhidi ya Marekani.Ukraine aliponzwa kwa kutegemea USA kaachwa alone.
Trump si mtu wa vita ye ni WA uchumi.
Vipi urusi China na north Korea wakiungana kumsapoti Iran ngoma itakuaje
Sijui kama watu wana taarifaPiga pigaaaa!!!! Kicha wa kidini hawezi kuachiwa amiliki nyuklia.... Iran imekua ikifadhili magaidi wa kiislamu kote, hii ndio kiama chao
Mkuu MMThis is the only chance to remove Iran and its proxies as a threat to Israel and the US...
قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ
Maria Nyedetseقَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ
صَاغِرُونَ
qatiluu aladhin la yuminun bilah wala bialyawm alakhir wala yuharimun ma haram allah warasuluh wala yadinun din alhaqi min aladhin 'uwtuu alkitab hataa yuetuu aljizyat ean yad wahum saghiruna
(AT-TAWBA - 29)
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
لَّقَدۡ كَانَ لَكُمۡ فِى رَسُولِ ٱللَّهِ أُسۡوَةٌ حَسَنَةٌ۬
“Hakika nyinyi mnacho kiigizo chema kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu.” [Al-Ahzab: 21]
سَتَجِدُونَ آخَرِينَ يُرِيدُونَ أَن يَأْمَنُوكُمْ وَيَأْمَنُوا قَوْمَهُمْ كُلَّ مَا رُدُّوا إِلَى الْفِتْنَةِ أُرْكِسُوا فِيهَا ۚ فَإِن لَّمْ يَعْتَزِلُوكُمْ وَيُلْقُوا إِلَيْكُمُ السَّلَمَ وَيَكُفُّوا أَيْدِيَهُمْ فَخُذُوهُمْ وَاقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ ۚ وَأُولَـٰئِكُمْ جَعَلْنَا لَكُمْ عَلَيْهِمْ سُلْطَانًا مُّبِينًا
[ AN-NISAAI - 91 ]
Mtawakuta wengine wanataka wapate salama kwenu na salama kwa watu wao. Kila wakirudishwa kwenye fitna hudidimizwa humo. Ikiwa hawajitengi nanyi, na wakakuleteeni salama, na wakazuia mikono yao, basi wakamateni na wauweni popote mnapo wakuta. Na juu ya hao ndio tumekupeni hoja zilizo wazi.
Msikilize hapa toka 2002….Mkuu MM
Hivi unaona hili ni jambo zuri!!
Iran: Haina silaha za nyuklia. 2003 Netanyahu alisema Iran ina wiki tu kabla ya kupata bomu.
2012 Netanyahu akasema Iran itapata bomu msimu mmoja (spring) unaofuata
2015 Neta akasema imebaki miezi 2 Iran inapata Bomu.
Yaani ni miaka 20 Iran inatakiwa kuwa na bomu kila wiki, uongo wa BB
Iran imesaini NPT na kujiondola last week, imekubali JCPOA kutoka US/EUROP
Israel
Ina silaha za Nyulia pale Damona ikikadiriwa vichwa 75-300
Israel haikutii sharti la UN ikaguliwe na Atomic Energy Org kama ilivyo resolution 487? kama sikosei
Israel haijasaini Non proliferation treaty (NPT)
Swali nani anatoa vibali vya kumiliki nyuklia, na kwanini Israel iwe navyo na siyo Iran
Proxies
Nani asiye na proxies? Jordan ni proxy wa Israel. Saudi ni Proxy wa US kwanini Iran isiwe nao?
Nani katengeneza proxies
Hezbollah wametengenezwa na Israel. Hamas wamesaidiwa na Israel miaka 20. Houthi ni matokeo ya Saud na US . Alqaeda wametengenezwa na CIA. Kipi mnachokiona cha ajabu?
Mkuu kama Russia kuvamia Ukraine ni kosa, uhalali wa Israel kuipiga Iran unatoka wapi?
Kama Russia kuivamia Ukraine ni kosa nani atamzuia China akiitaka Taiwan?
Ndoto hadi kife hiki kizazi cha hovyo na viongozi wakeTANZANIA YAIPA ONYO MAREKANI
Hiyo ni 2002 kabla ya baadhi ya Wachangiaji hawajazaliwa, halafu leo eti wanafahamu zaidi.
Na hapo alikuwa anazungumzia WMDs za Iraq kabla ya uvamizi.Hiyo ni 2002 kabla ya baadhi ya Wachangiaji hawajazaliwa, halafu leo eti wanafahamu zaidi.
Msikilizeni BB anavyo articulate plan yake, huku Tanzania wanaamini Israel ni victim.
Hivi inadhuru nini kusema ukweli! Nani aje atetee hiyo video
Collin Powell kabla hajafariki aliwaambi watu wake wa karibu '' majuto yake makuu Duniani ni ku testify uongo kuhusu WMD''.Na hapo alikuwa anazungumzia WMDs za Iraq kabla ya uvamizi.
Mpaka leo hizo silaha hawajazipata na wakaishia kuiharibu nchi ya watu!
Hahaha Trump bana! Huyu hapa anamchana Liz Cheney na babake kwa kupenda vita…..Collin Powell kabla hajafariki aliwaambi watu wake wa karibu '' majuto yake makuu Duniani ni ku testify uongo kuhusu WMD''.
Nyimbo zilikuwa hizi hizi kwamba Saddam ana fund proxies wa middle east. Wakamuondoa kwa mitutu hadi leo hakuna hata kilo moja ya WMD iliyowahi kupatikana. Aliyeingiza dunia na kuharibu Iraq ni BB Nyetanyahum ambaye anaaminisha Dunia yanayoendelea akiwa amekimbilia Greece
Kipigo kinahoteremka Tel Aviv na Haifa leo hii na actually sasa hivi, muasisi ni BB Nyahu. Baada ya 2003 ku testify kuhusu Iraq, akasema next ni Pakistan na Iran. Nchi hizo zikaanza kujiandaa zikujua ni next.
Kuna mwandishi wa gazeti la The Citizen Tanzania anaitwa Charles Makakala. Mwaka jana aliandika article akisema middle east ikubali mikataba yote na Israel ikiwemo Iran kwasababu Israel ni Super power hakuna wa kumsogelea. Well, leo wanapokea kichapo hakuna ubishi tena kwamba hakuna cha super power
Ndege za Israel zinashambulia kutoka Cyprus kwenye British Base zikisaidiwa na mipango ya US kupitia fleet zake zilizoko middle east. Iron Dome, David's sling na Arrow zikisadiwa na THAAD hakuna kitu
Tena Iran ina vikwazo miaka 15 lakini wamegeuza Tel Aviv na kuwa Gaza 2.0
Yupo katika wakati mgumu! hizo video angekuwa na uwezo angezipiga marufuku.Hahaha Trump bana! Huyu hapa anamchana Liz Cheney na babake kwa kupenda vita…..
View: https://youtu.be/47_XcdW7A7A?si=m1tfwtIWU5gOBD7z
Hii hapa chini anamchana Obama kuwa ataanzisha vita na Iran ili achaguliwe tena [kwenye uchaguzi wa 2012].
You can’t make this up 🤣.
View: https://youtu.be/XTwcifOBarc?si=rZpJwKhq3hNvnzGK
Qur’an 8:61 inasema "Na wakielekea kuacha vita na wakapendelea kuishi kwa amani na nyinyi, basi nawe elekea huko, ewe Nabii, na uyategemeze mambo yako kwa Mwenyezi Mungu na uwe na imani na Yeye. Hakika Yeye Ndiye Mwenye kuyasikia maneno yao, Mwenye kuzijua nia zao."