Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

Amka bro hii ndoto haina maana
 
Wengi wanazungumzia sana hili,Wachaga na ubinafsi/Ukabila inawezekana lina ukweli ndani yake,lakini kwangu mimi ni bora Mchaga Mtanganyika kuliko Mzanzibar,Kama vipi tutampa hata John Momose Cheyo,haaaa Watanganyika tunachekwa na wenzetu tuamkeni.
 
Tukiachana na swala la wewe kutuma video ambavyo haihusiani kabisa na mada au hâta comment yangu uliyoquote , huyo anaewaita watu wenzake manyani mbona huyo ndo kafanana kabisa na nyani kimuonekano?

Video inayaeleza vyema mawazo yako ya kwenye comment yako ile:

"Kudhani kuwa mawazo yako ndiyo sahihi, final and terminate na si ya mwingine huo ni unyani."

"Kutokuheshimu haki, usawa na uhuru wa wengine nao kuwa na maoni yao ni unyani huo."

"Kudai Bulembo kuwa ni kichaa bila kutanguliza kiambishi cha angalau - 'kwa mawazo yang' - huo ni unyani halisi."

Video inazungumzia unyani. Kwa hakika ndipo unapokutana nayo.

Nikurejee sasa kwenye kufanana na nyani:

"Ni heri kufanana na nyani kwa maungo ya mwili kuliko akili."
 
Ndoto yako ikitimia Mbowe ndio atakuwa Rais alieingia madarakani kwa mara ya kwanza akiwa Kikongwe zaid


Julius aliingia akiwa na 40
Ally aliingia akiwa na 60
Benja akiwa na 58

Jakaya akiwa na 55
John akiwa na 56
Samia akiwa na 61
Trump na Biden ni vijana wa umri gani? Idio.t
 
Wabongo kwa uchonganishi Chana chochite kinaweza kuongo nchi sio lazima chadema
 
Mbowe anaweza kuwa mgombea bora kuliko lisu?!

Nime angalia kuona japo kama kuna ulipoandika "kwa mawazo yangu."

Hizi elimu za kina waziri Prof. Ndalichako, Dr. Jaffo, Dr. Biteko, Dr. Majaliwa, Dr. Kasheku, Dr. Samia na wenzao zinaligharimu taifa hili.
 
OpoOTE="Jumbe Brown, post: 41111979, member: 600565"]
Acha uhaini.....

TANGANYIKA haipo.....huo ni UHAINI......
[/QUOTE]

Usijipakazie unajua Tanganyika ipo imevaa joho la Tanzania
 
Nime angalia kuona japo kama kuna ulipoandika "kwa mawazo yangu."
Niliyemnukuu marc alpho kaandika kuwa
"Kama CDM watamsimisha Mbowe kama mgombea 2025 uchaguzi utakuwa ngumu, Labda wafanye makosa tena wamsimamishe LISSU".

Narudia swali langu kwake tena; mbowe anaweza kuwa mgombea bora kuliko lisu?!
 
Yule jambazi acha tu aendelee kupumzika huko aliko.
 
kelele za humu jf ,sio ndo wapiga kura wa huko nje!! ngoja tuone!japo cdm na upinzani wakicheza karata vizuri wanaweza kubadili history ya tz kwa Mara ya 1,japo sio rahisi kihivyo ,ccm bado ni chama chenye nguvu,na mashabk wengi,halafu ni chama ambacho kinaweza kubadili hali ya upepo withn a sec.leo mtaona Kama wanampasuko baina yao,Ila wakishamsmamisha mmoja wa kutoka nje,hawa jamaa wanaunganaga fasta na kusahau mpasuko wao wthn a second.
 
Halafu Tundu Lisu itakuwaje wakati ndio Rais wetu.... wale jamaa hata EL akienda tena kugombea 2025 watampa tu...
Kwa sasa anaandaliwa PolePole mkuu, Lisu hana chake. Chadema huwezi kugombea mara mbili. Mwaka 2005- Mbowe, mwaka 2010- dr Slaa, mwaka 2015- Lowasa, Mwaka 2020- Lisu, na mwaka 2025 anaandaliwa PolePole akalete amsha amsha zaidi ya ile aliyoleta Lisu mwaka jana.
 
Hivi kuna kipi kilichobadilika? Mwendo utakuwa uleuke wa uchafuzi waliyofanya hiyo shughuli chini ya Rais Magufuli bado wapo na watafanya hakuna wkuwazuia hivyo msijipe tumaini lisilokuwepo.
 
Ndoto yako ikitimia Mbowe ndio atakuwa Rais alieingia madarakani kwa mara ya kwanza akiwa Kikongwe zaid


Julius aliingia akiwa na 40
Ally aliingia akiwa na 60
Benja akiwa na 58

Jakaya akiwa na 55
John akiwa na 56
Samia akiwa na 61
Kama Joe biden. Sema wazee wa ulaya wana akili
 
Hivi kuna kipi kilichobadilika? Mwendo utakuwa uleuke wa uchafuzi waliyofanya hiyo shughuli chini ya Rais Magufuli bado wapo na watafanya hakuna wkuwazuia hivyo msijipe tumaini lisilokuwepo.
Ni kweli lakini zama hubadilika.
 
Akili za ukilaza kutoka kwa kilaza mkuu wa mavilaza.
Siwezi kuandika uwongo kukufurahisha wewe Mmawia, bali naandika ninachokijuwa. Namfahamu Mbowe kuanzia 1980 tukiwa Ihungo Secondary A-Level.

Unachokiona usoni kwake siyo hicho kilichoko moyoni mwake. Sasa hivi anawatumia tu hao wanaojiita makamanda ili kufikia matarajio yake. Akiyapata tu, mtamtamani Dr Slaa arudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…