Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nawashangaa Kikwete kapeleka majeshi Congo Rwanda hawataki? shida kweli kweli
Mkuu wangu, hilo la kutofautiana kati ya TISS Boss na Presdaa wala lisikupe taabu sana ili mradi Rais wetu hana tabia ya kupiga watu risasi kama anavyofanya Kagame pindi anapotofautiana nao...kutofautiana ni jambo la kawaida; jamii ya kistaarabu, mnapotofautiana, ikiwa there's no way to settle things down, kinachofanyika ni replacement kiroho saafi kabisa!Sioni mantiki ya habari hii kama serikali ya Tanzania inajaribu kutafuta suluhisho la kidiplomasia lakini wenzetu wako na mambo haya. Kama haitoshi nafikiri kuna haja ya ku-demand kwa serikali yetu ituambie hii nchi ni salama kiasi gani kama Rwanda wanaweza kuwa na habari nyeti hivi (kama ni kweli) zinazomuhusu mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa na Raisi wetu.
kuna zaidi ya tunavojua bila shaka, na kama haitoshi nahisi hawa jamaa wanawatayarisha wananchi wa Rwanda kisaikolojia kwa ajili ya Vita, hisia zangu zinanituma niamini kabisa hizi habari haziandikwi kwa bahati mbaya....nchi yeyote inapotaka kupigana vita na nchi nyingine one of the tactic ni kuwatayarisha wananchi wako kisaikolojia ili upate support yao, nafikiri mnakumbuka hata Nyasa times makala zao zilivokuwa... ni muhimu sasa na media ya Tanzania ikaanza kuwatayarisha wananchi wa nchi hii, ni ajabu kama wewe unaongea peace tuuu na jirani yako anajiaandaa kwa vita halafu eti unajifanya huoni..
pia kama haya si ya kweli ni muhimu sasa serikali yatu i-demand majibu ya kuridhisha na si ya mzaha mzaha kutoka kwa serikali ya Rwanda, hali hii haivumiliki.
Mkuu they are playing a stupid game katika covert world known as Dis information.Mbona sielewi ? Mara anatoka Lindi, mara anatoka rwanda ?
Hahhaaa!
mhh kwa hiyo hawa jamaa walifika hapa kwetu na wakatuchunguza vya kutosha, usikute mzee othman aliwapa data hawa watu.. Huenda hatuko salama kama tunavyojidanganya. Hao usalama wa taifa kumbe hawaaminiani na kila mtu anamaono yake.. kazi ipo
Sijaona hata cha kufanyia kazi sijuhi kuchunguza...duka la Virago ...real? Au biashara ya Bi Salma huko DRC? what for? AU kwa nini M 23 wametandikwa....te te te
Hawa watutsi hawajui tanzania ndio bingwa wa fitna, Rais mwenyewe m.kwe.re. Tukianza sisi propaganda zetu wanaweza kufa kwa maneno tu! LOL
Rwandese propaganda!! Mkuu commited, wala usiumize kichwa chako!!
cha kujiuliza hizi propaganda lengo lake ni nini haswaaa?
Watz tuna uwezo wa kumpiga kagame.
Kagame ni shida na ataendelea kuwa shida.Nakumbuka July 4th 2011 akiwa anatokea kukagua mashamba yake lilitokea jaribio la kumpindua,gari lake lilimwagiwa risasi shukrani pekee zimwendee dreva wake.Lakini kilichofuata ni kwamba aliua askari wote karibia 100 aliowahisi na maafisa usalama karibia 20.Kwa hiyo in short Kagame ni mfu anaetembea maana hata Wanyarwanda wenyewe walishamchoka kwa hiyo ili aendelee kuishi ni kutengeneza tension kwamba anataka kuvamiwa ili aendeleee kuishi kwa sympathy za wanyarwanda kama anavoendelea kushi kwenye kivuli cha genocide kila anapoguswa na mataifa ya Magharibi. Hakuna marefu yasiyo na ncha na pia chuma hata kichemke vipi mwisho lazima kitapoa tu.
Kwa hiyo Kagame asifikiri eti kila siku atakuwa wa moto tu HAPANA kwa taarifa yake sasa ni wakati wake wa kuwa baridi na akubaliane na ubaridi huo aache kutapatapa. Unamjua rais alietunguliwa kwenye ndege wa Rwanda ndugu Habyarimana? Nae kuna kipindi alikuwa wa moto kuliko Kagame yaani ni kwamba taarifa ya habari kutoka Radio Rwanda haiwezi kusomwa kama halijatangulia neno la busara la Mheshimiwa Habyarimana lakini mwisho alipoa na mpaka anatunguliwa kwenye ndege alikuwa ametoka kufanya mazungumzo na waasi wa RPF Dar es Salaaam.
Kagame kitakachomponza ni kuwa na kiburi na kichwa ngumu yeye hataki kushauriwa anaona washauri wake eti akina Tonny Blair na Bill Clinton ndiyo washauri wazuri,lakini nachokuambia Mzungu yeyote duniani hafanyi kazi bure na akumbuke America has no permanent friend kwa hiyo walishamtumia kuvamia DRC sasa hana thamani tena.Maskini ya Mungu mwaka jana aliekuwa mkuu wa majeshi ya Rwanda Charles Kayonga alimshauri vizuri Kagame akamuambia kuwa Tanzania inapeleka majeshi DRC kwa hiyo Rwanda itafute namna ya kuwithdraw majeshi yake kwenye kikundi cha waasi cha M23 maana mziki utakuwa mzito.Kilichofuata alimuita eti Charles Kayonga ni mjinga na muoga na mwisho wa siku akamfukuza kutoka jeshini na sasa wanasema huenda jamaa alishauawa maana mara ya kwanza walisema eti amefungiwa kwenye gereza la siri nchini Rwanda lakini kiukweli wanasema kajamaa kameshamdedisha.
So in short msimalize muda wenu kujadili issue za Kagame maana ni mtu wakati wowote ule anaweza akafa either kwa kupigwa risasi ama hata kupinduliwa kwa hiyo anaweweseka tu.Unajua ukishaua sana watu inafika kipindi unakuwa chizi maana damu za watu si bure.Kwa hiyo kuna watu wanatumia uchizi wa Kagame kuchumia matumbo yao kama hawa waandishi wa News of Rwanda
watz tuna uwezo wa kumpiga kagame.
kagame ni shida na ataendelea kuwa shida.nakumbuka july 4th 2011 akiwa anatokea kukagua mashamba yake lilitokea jaribio la kumpindua,gari lake lilimwagiwa risasi shukrani pekee zimwendee dreva wake.lakini kilichofuata ni kwamba aliua askari wote karibia 100 aliowahisi na maafisa usalama karibia 20.kwa hiyo in short kagame ni mfu anaetembea maana hata wanyarwanda wenyewe walishamchoka kwa hiyo ili aendelee kuishi ni kutengeneza tension kwamba anataka kuvamiwa ili aendeleee kuishi kwa sympathy za wanyarwanda kama anavoendelea kushi kwenye kivuli cha genocide kila anapoguswa na mataifa ya magharibi. Hakuna marefu yasiyo na ncha na pia chuma hata kichemke vipi mwisho lazima kitapoa tu.
Kwa hiyo kagame asifikiri eti kila siku atakuwa wa moto tu hapana kwa taarifa yake sasa ni wakati wake wa kuwa baridi na akubaliane na ubaridi huo aache kutapatapa. Unamjua rais alietunguliwa kwenye ndege wa rwanda ndugu habyarimana? Nae kuna kipindi alikuwa wa moto kuliko kagame yaani ni kwamba taarifa ya habari kutoka radio rwanda haiwezi kusomwa kama halijatangulia neno la busara la mheshimiwa habyarimana lakini mwisho alipoa na mpaka anatunguliwa kwenye ndege alikuwa ametoka kufanya mazungumzo na waasi wa rpf dar es salaaam.
Kagame kitakachomponza ni kuwa na kiburi na kichwa ngumu yeye hataki kushauriwa anaona washauri wake eti akina tonny blair na bill clinton ndiyo washauri wazuri,lakini nachokuambia mzungu yeyote duniani hafanyi kazi bure na akumbuke america has no permanent friend kwa hiyo walishamtumia kuvamia drc sasa hana thamani tena.maskini ya mungu mwaka jana aliekuwa mkuu wa majeshi ya rwanda charles kayonga alimshauri vizuri kagame akamuambia kuwa tanzania inapeleka majeshi drc kwa hiyo rwanda itafute namna ya kuwithdraw majeshi yake kwenye kikundi cha waasi cha m23 maana mziki utakuwa mzito.kilichofuata alimuita eti charles kayonga ni mjinga na muoga na mwisho wa siku akamfukuza kutoka jeshini na sasa wanasema huenda jamaa alishauawa maana mara ya kwanza walisema eti amefungiwa kwenye gereza la siri nchini rwanda lakini kiukweli wanasema kajamaa kameshamdedisha.
So in short msimalize muda wenu kujadili issue za kagame maana ni mtu wakati wowote ule anaweza akafa either kwa kupigwa risasi ama hata kupinduliwa kwa hiyo anaweweseka tu.unajua ukishaua sana watu inafika kipindi unakuwa chizi maana damu za watu si bure.kwa hiyo kuna watu wanatumia uchizi wa kagame kuchumia matumbo yao kama hawa waandishi wa news of rwanda
Watz tuna uwezo wa kumpiga kagame.
Kagame ni shida na ataendelea kuwa shida.Nakumbuka July 4th 2011 akiwa anatokea kukagua mashamba yake lilitokea jaribio la kumpindua,gari lake lilimwagiwa risasi shukrani pekee zimwendee dreva wake.Lakini kilichofuata ni kwamba aliua askari wote karibia 100 aliowahisi na maafisa usalama karibia 20.Kwa hiyo in short Kagame ni mfu anaetembea maana hata Wanyarwanda wenyewe walishamchoka kwa hiyo ili aendelee kuishi ni kutengeneza tension kwamba anataka kuvamiwa ili aendeleee kuishi kwa sympathy za wanyarwanda kama anavoendelea kushi kwenye kivuli cha genocide kila anapoguswa na mataifa ya Magharibi. Hakuna marefu yasiyo na ncha na pia chuma hata kichemke vipi mwisho lazima kitapoa tu.
Kwa hiyo Kagame asifikiri eti kila siku atakuwa wa moto tu HAPANA kwa taarifa yake sasa ni wakati wake wa kuwa baridi na akubaliane na ubaridi huo aache kutapatapa. Unamjua rais alietunguliwa kwenye ndege wa Rwanda ndugu Habyarimana? Nae kuna kipindi alikuwa wa moto kuliko Kagame yaani ni kwamba taarifa ya habari kutoka Radio Rwanda haiwezi kusomwa kama halijatangulia neno la busara la Mheshimiwa Habyarimana lakini mwisho alipoa na mpaka anatunguliwa kwenye ndege alikuwa ametoka kufanya mazungumzo na waasi wa RPF Dar es Salaaam.
Kagame kitakachomponza ni kuwa na kiburi na kichwa ngumu yeye hataki kushauriwa anaona washauri wake eti akina Tonny Blair na Bill Clinton ndiyo washauri wazuri,lakini nachokuambia Mzungu yeyote duniani hafanyi kazi bure na akumbuke America has no permanent friend kwa hiyo walishamtumia kuvamia DRC sasa hana thamani tena.Maskini ya Mungu mwaka jana aliekuwa mkuu wa majeshi ya Rwanda Charles Kayonga alimshauri vizuri Kagame akamuambia kuwa Tanzania inapeleka majeshi DRC kwa hiyo Rwanda itafute namna ya kuwithdraw majeshi yake kwenye kikundi cha waasi cha M23 maana mziki utakuwa mzito.Kilichofuata alimuita eti Charles Kayonga ni mjinga na muoga na mwisho wa siku akamfukuza kutoka jeshini na sasa wanasema huenda jamaa alishauawa maana mara ya kwanza walisema eti amefungiwa kwenye gereza la siri nchini Rwanda lakini kiukweli wanasema kajamaa kameshamdedisha.
So in short msimalize muda wenu kujadili issue za Kagame maana ni mtu wakati wowote ule anaweza akafa either kwa kupigwa risasi ama hata kupinduliwa kwa hiyo anaweweseka tu.Unajua ukishaua sana watu inafika kipindi unakuwa chizi maana damu za watu si bure.Kwa hiyo kuna watu wanatumia uchizi wa Kagame kuchumia matumbo yao kama hawa waandishi wa News of Rwanda
Kagame amepata mbabe wake anahangaika kama mbwa koko sasa. DRC sio Rwanda