Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

hakika Rwanda wanatapatapa sana. Kifo chao DRC kimewauma sana. Hizi ni kauli za mfa maji
 
Mi nawashangaa Kikwete kapeleka majeshi Congo Rwanda hawataki? shida kweli kweli

kuna zaidi ya tunavojua bila shaka, na kama haitoshi nahisi hawa jamaa wanawatayarisha wananchi wa Rwanda kisaikolojia kwa ajili ya Vita, hisia zangu zinanituma niamini kabisa hizi habari haziandikwi kwa bahati mbaya....nchi yeyote inapotaka kupigana vita na nchi nyingine one of the tactic ni kuwatayarisha wananchi wako kisaikolojia ili upate support yao, nafikiri mnakumbuka hata Nyasa times makala zao zilivokuwa... ni muhimu sasa na media ya Tanzania ikaanza kuwatayarisha wananchi wa nchi hii, ni ajabu kama wewe unaongea peace tuuu na jirani yako anajiaandaa kwa vita halafu eti unajifanya huoni..
pia kama haya si ya kweli ni muhimu sasa serikali yatu i-demand majibu ya kuridhisha na si ya mzaha mzaha kutoka kwa serikali ya Rwanda, hali hii haivumiliki.
 
Sioni mantiki ya habari hii kama serikali ya Tanzania inajaribu kutafuta suluhisho la kidiplomasia lakini wenzetu wako na mambo haya. Kama haitoshi nafikiri kuna haja ya ku-demand kwa serikali yetu ituambie hii nchi ni salama kiasi gani kama Rwanda wanaweza kuwa na habari nyeti hivi (kama ni kweli) zinazomuhusu mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa na Raisi wetu.
Mkuu wangu, hilo la kutofautiana kati ya TISS Boss na Presdaa wala lisikupe taabu sana ili mradi Rais wetu hana tabia ya kupiga watu risasi kama anavyofanya Kagame pindi anapotofautiana nao...kutofautiana ni jambo la kawaida; jamii ya kistaarabu, mnapotofautiana, ikiwa there's no way to settle things down, kinachofanyika ni replacement kiroho saafi kabisa!

Lakini kwenye hoja ya nchi ni salama kiasi gani, naweza kusema kuna tatizo! Tanzania ingekuwa ni nchi ya kibaguzi, ni rahisi sana kutatua tatizo hilo lakini uungwana wetu ndio unatuponza. Wala usdihani kwamba Rwanda wana intelligence ya hali ya juu sana kuweza kupata hizo data, la hasha!

We all know kwamba Rwanda na Burundi zilikosa amani kwa miongo kadhaa...kutokana na hilo, Wanyarwanda wengi, hususani Watutsi (coz' baada ya uhuru wa Rwanda, Wahutu ndo walikuwa madarakani na hivyo kuwa-oppress Watutsi) walikimbilia Tanzania. Walipofika Tanzania, hatukuwabagua; wakasoma kuanzia darasa la kwanza hadi pale kila mmoja alipoishia! Na kila mmoja, aliajiriwa serikalini kulingana na elimu yake; hawakubaguliwa kwamba ni wakimbizi! Hawa, wengine wakapata nafasi nyeti kabisa serikalini, ndio hao hao ambao leo hii wanasaliti hisani ya Watanzania na hivyo kuvujisha taarifa za serikalini kwa watu wa PK.

Narudia, hili linaendelea kwavile Tanzania ni nchi ya waungwana, ingekuwa ni mataifa mengine, kule juu wangepitisha fagio kwenye kila corridor provided mtu ana asili fulani, ingetosha kabisa kufagia. But am very certain, my country will never go that far...hata kama wapo wanaotusaliti bado wapo tunaokaa nao kama ndugu huku wakiwa wamesahau kabisa asili yao na wao kubaki Watanzania for Tanzania.
 
kuna zaidi ya tunavojua bila shaka, na kama haitoshi nahisi hawa jamaa wanawatayarisha wananchi wa Rwanda kisaikolojia kwa ajili ya Vita, hisia zangu zinanituma niamini kabisa hizi habari haziandikwi kwa bahati mbaya....nchi yeyote inapotaka kupigana vita na nchi nyingine one of the tactic ni kuwatayarisha wananchi wako kisaikolojia ili upate support yao, nafikiri mnakumbuka hata Nyasa times makala zao zilivokuwa... ni muhimu sasa na media ya Tanzania ikaanza kuwatayarisha wananchi wa nchi hii, ni ajabu kama wewe unaongea peace tuuu na jirani yako anajiaandaa kwa vita halafu eti unajifanya huoni..
pia kama haya si ya kweli ni muhimu sasa serikali yatu i-demand majibu ya kuridhisha na si ya mzaha mzaha kutoka kwa serikali ya Rwanda, hali hii haivumiliki.

upo sawa mkuu things are getting nasty, sio busara wala si sahihi kuiacha hii hali iendelee kwa muda mrefu, imefikia mahali tuyamalize haya mambo kwa njia sahihi kulingana na hali halisi..
 
Rwandese propaganda!! Mkuu commited, wala usiumize kichwa chako!!
mhh kwa hiyo hawa jamaa walifika hapa kwetu na wakatuchunguza vya kutosha, usikute mzee othman aliwapa data hawa watu.. Huenda hatuko salama kama tunavyojidanganya. Hao usalama wa taifa kumbe hawaaminiani na kila mtu anamaono yake.. kazi ipo
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa wanataka wakubwa wagongane vichwa tu. Hawana lolote. Siamini yote yanayoandikwa humu yana ukweli wanaosema ni ukweli. Pengine hilo la biashara zisizo fuata taratibu...pengine not so sure! Vinginevyo Kagame ile vita ya Congo ameshikwa pabaya.
 
Sijaona hata cha kufanyia kazi sijuhi kuchunguza...duka la Virago ...real? Au biashara ya Bi Salma huko DRC? what for? AU kwa nini M 23 wametandikwa....te te te

Du bongo noma! Elimu na ufahamu wa watu wetu ni janga!
 
Mimi kuna kitu nahisi Tz wameifanyia Rwanda ambacho kinawaumiza kwenye uchumi wao.HUwezi ukapata habari za kijasusi ukaweka kwenye gazeti badala ya kuifanyia kazi habari hyo kwa kijasusi.Kuna muweweseko nahisi ndani ya Kigali na propaganda ambazo Tz tulizifanya hizo kwa wareno na makaburu miaka hyo
 
hizi habari ni uzushi tu ulio na vijifacts viwili vitatu.
 
Hawa watutsi hawajui tanzania ndio bingwa wa fitna, Rais mwenyewe m.kwe.re. Tukianza sisi propaganda zetu wanaweza kufa kwa maneno tu! LOL
 
Mimi naomba serikali waruhusu magazeti yetu yaanze maana jeshi walizuiaga habari za propaganda kuhusu Rwanda na m23.
 
Mimi kwa upande wangu huwa naona upuuzi sana kujadili issue za Rwanda ni kupoteza muda na nguvu zetu.Kagame ni shida na ataendelea kuwa shida.Nakumbuka July 4th 2011 akiwa anatokea kukagua mashamba yake lilitokea jaribio la kumpindua,gari lake lilimwagiwa risasi shukrani pekee zimwendee dreva wake.Lakini kilichofuata ni kwamba aliua askari wote karibia 100 aliowahisi na maafisa usalama karibia 20.Kwa hiyo in short Kagame ni mfu anaetembea maana hata Wanyarwanda wenyewe walishamchoka kwa hiyo ili aendelee kuishi ni kutengeneza tension kwamba anataka kuvamiwa ili aendeleee kuishi kwa sympathy za wanyarwanda kama anavoendelea kushi kwenye kivuli cha genocide kila anapoguswa na mataifa ya Magharibi. Hakuna marefu yasiyo na ncha na pia chuma hata kichemke vipi mwisho lazima kitapoa tu.

Kwa hiyo Kagame asifikiri eti kila siku atakuwa wa moto tu HAPANA kwa taarifa yake sasa ni wakati wake wa kuwa baridi na akubaliane na ubaridi huo aache kutapatapa. Unamjua rais alietunguliwa kwenye ndege wa Rwanda ndugu Habyarimana? Nae kuna kipindi alikuwa wa moto kuliko Kagame yaani ni kwamba taarifa ya habari kutoka Radio Rwanda haiwezi kusomwa kama halijatangulia neno la busara la Mheshimiwa Habyarimana lakini mwisho alipoa na mpaka anatunguliwa kwenye ndege alikuwa ametoka kufanya mazungumzo na waasi wa RPF Dar es Salaaam.

Kagame kitakachomponza ni kuwa na kiburi na kichwa ngumu yeye hataki kushauriwa anaona washauri wake eti akina Tonny Blair na Bill Clinton ndiyo washauri wazuri,lakini nachokuambia Mzungu yeyote duniani hafanyi kazi bure na akumbuke America has no permanent friend kwa hiyo walishamtumia kuvamia DRC sasa hana thamani tena.Maskini ya Mungu mwaka jana aliekuwa mkuu wa majeshi ya Rwanda Charles Kayonga alimshauri vizuri Kagame akamuambia kuwa Tanzania inapeleka majeshi DRC kwa hiyo Rwanda itafute namna ya kuwithdraw majeshi yake kwenye kikundi cha waasi cha M23 maana mziki utakuwa mzito.Kilichofuata alimuita eti Charles Kayonga ni mjinga na muoga na mwisho wa siku akamfukuza kutoka jeshini na sasa wanasema huenda jamaa alishauawa maana mara ya kwanza walisema eti amefungiwa kwenye gereza la siri nchini Rwanda lakini kiukweli wanasema kajamaa kameshamdedisha.

So in short msimalize muda wenu kujadili issue za Kagame maana ni mtu wakati wowote ule anaweza akafa either kwa kupigwa risasi ama hata kupinduliwa kwa hiyo anaweweseka tu.Unajua ukishaua sana watu inafika kipindi unakuwa chizi maana damu za watu si bure.Kwa hiyo kuna watu wanatumia uchizi wa Kagame kuchumia matumbo yao kama hawa waandishi wa News of Rwanda
 
There you are! Mamlaka yetu husika inatakiwa ifuatilie hizi propaganda kimya kimya ili tujue kama mpango wao ni maandalizi ya kukinukisha! Au ni kujenga mazingira mazuri kwao kwa ajili ya mnyukano wa kiuchumi ndani ya afrika mashariki! Sijuiii.......!!
cha kujiuliza hizi propaganda lengo lake ni nini haswaaa?
 
Watz tuna uwezo wa kumpiga kagame.

Kagame ni shida na ataendelea kuwa shida.Nakumbuka July 4th 2011 akiwa anatokea kukagua mashamba yake lilitokea jaribio la kumpindua,gari lake lilimwagiwa risasi shukrani pekee zimwendee dreva wake.Lakini kilichofuata ni kwamba aliua askari wote karibia 100 aliowahisi na maafisa usalama karibia 20.Kwa hiyo in short Kagame ni mfu anaetembea maana hata Wanyarwanda wenyewe walishamchoka kwa hiyo ili aendelee kuishi ni kutengeneza tension kwamba anataka kuvamiwa ili aendeleee kuishi kwa sympathy za wanyarwanda kama anavoendelea kushi kwenye kivuli cha genocide kila anapoguswa na mataifa ya Magharibi. Hakuna marefu yasiyo na ncha na pia chuma hata kichemke vipi mwisho lazima kitapoa tu.

Kwa hiyo Kagame asifikiri eti kila siku atakuwa wa moto tu HAPANA kwa taarifa yake sasa ni wakati wake wa kuwa baridi na akubaliane na ubaridi huo aache kutapatapa. Unamjua rais alietunguliwa kwenye ndege wa Rwanda ndugu Habyarimana? Nae kuna kipindi alikuwa wa moto kuliko Kagame yaani ni kwamba taarifa ya habari kutoka Radio Rwanda haiwezi kusomwa kama halijatangulia neno la busara la Mheshimiwa Habyarimana lakini mwisho alipoa na mpaka anatunguliwa kwenye ndege alikuwa ametoka kufanya mazungumzo na waasi wa RPF Dar es Salaaam.

Kagame kitakachomponza ni kuwa na kiburi na kichwa ngumu yeye hataki kushauriwa anaona washauri wake eti akina Tonny Blair na Bill Clinton ndiyo washauri wazuri,lakini nachokuambia Mzungu yeyote duniani hafanyi kazi bure na akumbuke America has no permanent friend kwa hiyo walishamtumia kuvamia DRC sasa hana thamani tena.Maskini ya Mungu mwaka jana aliekuwa mkuu wa majeshi ya Rwanda Charles Kayonga alimshauri vizuri Kagame akamuambia kuwa Tanzania inapeleka majeshi DRC kwa hiyo Rwanda itafute namna ya kuwithdraw majeshi yake kwenye kikundi cha waasi cha M23 maana mziki utakuwa mzito.Kilichofuata alimuita eti Charles Kayonga ni mjinga na muoga na mwisho wa siku akamfukuza kutoka jeshini na sasa wanasema huenda jamaa alishauawa maana mara ya kwanza walisema eti amefungiwa kwenye gereza la siri nchini Rwanda lakini kiukweli wanasema kajamaa kameshamdedisha.

So in short msimalize muda wenu kujadili issue za Kagame maana ni mtu wakati wowote ule anaweza akafa either kwa kupigwa risasi ama hata kupinduliwa kwa hiyo anaweweseka tu.Unajua ukishaua sana watu inafika kipindi unakuwa chizi maana damu za watu si bure.Kwa hiyo kuna watu wanatumia uchizi wa Kagame kuchumia matumbo yao kama hawa waandishi wa News of Rwanda

Mkuu, hapo kwenye red ni kweli kabisa maana sasa hivi ukimtazama Mwigulu Nchemba na Nchimbi walivyo kama machizi kutokana na mauaji ya watu wasio na hatia.
 
watz tuna uwezo wa kumpiga kagame.

kagame ni shida na ataendelea kuwa shida.nakumbuka july 4th 2011 akiwa anatokea kukagua mashamba yake lilitokea jaribio la kumpindua,gari lake lilimwagiwa risasi shukrani pekee zimwendee dreva wake.lakini kilichofuata ni kwamba aliua askari wote karibia 100 aliowahisi na maafisa usalama karibia 20.kwa hiyo in short kagame ni mfu anaetembea maana hata wanyarwanda wenyewe walishamchoka kwa hiyo ili aendelee kuishi ni kutengeneza tension kwamba anataka kuvamiwa ili aendeleee kuishi kwa sympathy za wanyarwanda kama anavoendelea kushi kwenye kivuli cha genocide kila anapoguswa na mataifa ya magharibi. Hakuna marefu yasiyo na ncha na pia chuma hata kichemke vipi mwisho lazima kitapoa tu.

Kwa hiyo kagame asifikiri eti kila siku atakuwa wa moto tu hapana kwa taarifa yake sasa ni wakati wake wa kuwa baridi na akubaliane na ubaridi huo aache kutapatapa. Unamjua rais alietunguliwa kwenye ndege wa rwanda ndugu habyarimana? Nae kuna kipindi alikuwa wa moto kuliko kagame yaani ni kwamba taarifa ya habari kutoka radio rwanda haiwezi kusomwa kama halijatangulia neno la busara la mheshimiwa habyarimana lakini mwisho alipoa na mpaka anatunguliwa kwenye ndege alikuwa ametoka kufanya mazungumzo na waasi wa rpf dar es salaaam.

Kagame kitakachomponza ni kuwa na kiburi na kichwa ngumu yeye hataki kushauriwa anaona washauri wake eti akina tonny blair na bill clinton ndiyo washauri wazuri,lakini nachokuambia mzungu yeyote duniani hafanyi kazi bure na akumbuke america has no permanent friend kwa hiyo walishamtumia kuvamia drc sasa hana thamani tena.maskini ya mungu mwaka jana aliekuwa mkuu wa majeshi ya rwanda charles kayonga alimshauri vizuri kagame akamuambia kuwa tanzania inapeleka majeshi drc kwa hiyo rwanda itafute namna ya kuwithdraw majeshi yake kwenye kikundi cha waasi cha m23 maana mziki utakuwa mzito.kilichofuata alimuita eti charles kayonga ni mjinga na muoga na mwisho wa siku akamfukuza kutoka jeshini na sasa wanasema huenda jamaa alishauawa maana mara ya kwanza walisema eti amefungiwa kwenye gereza la siri nchini rwanda lakini kiukweli wanasema kajamaa kameshamdedisha.

So in short msimalize muda wenu kujadili issue za kagame maana ni mtu wakati wowote ule anaweza akafa either kwa kupigwa risasi ama hata kupinduliwa kwa hiyo anaweweseka tu.unajua ukishaua sana watu inafika kipindi unakuwa chizi maana damu za watu si bure.kwa hiyo kuna watu wanatumia uchizi wa kagame kuchumia matumbo yao kama hawa waandishi wa news of rwanda

tushirikiane , mwisho wa muuaji kagame unakuja, unakuja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Watz tuna uwezo wa kumpiga kagame.

Kagame ni shida na ataendelea kuwa shida.Nakumbuka July 4th 2011 akiwa anatokea kukagua mashamba yake lilitokea jaribio la kumpindua,gari lake lilimwagiwa risasi shukrani pekee zimwendee dreva wake.Lakini kilichofuata ni kwamba aliua askari wote karibia 100 aliowahisi na maafisa usalama karibia 20.Kwa hiyo in short Kagame ni mfu anaetembea maana hata Wanyarwanda wenyewe walishamchoka kwa hiyo ili aendelee kuishi ni kutengeneza tension kwamba anataka kuvamiwa ili aendeleee kuishi kwa sympathy za wanyarwanda kama anavoendelea kushi kwenye kivuli cha genocide kila anapoguswa na mataifa ya Magharibi. Hakuna marefu yasiyo na ncha na pia chuma hata kichemke vipi mwisho lazima kitapoa tu.

Kwa hiyo Kagame asifikiri eti kila siku atakuwa wa moto tu HAPANA kwa taarifa yake sasa ni wakati wake wa kuwa baridi na akubaliane na ubaridi huo aache kutapatapa. Unamjua rais alietunguliwa kwenye ndege wa Rwanda ndugu Habyarimana? Nae kuna kipindi alikuwa wa moto kuliko Kagame yaani ni kwamba taarifa ya habari kutoka Radio Rwanda haiwezi kusomwa kama halijatangulia neno la busara la Mheshimiwa Habyarimana lakini mwisho alipoa na mpaka anatunguliwa kwenye ndege alikuwa ametoka kufanya mazungumzo na waasi wa RPF Dar es Salaaam.

Kagame kitakachomponza ni kuwa na kiburi na kichwa ngumu yeye hataki kushauriwa anaona washauri wake eti akina Tonny Blair na Bill Clinton ndiyo washauri wazuri,lakini nachokuambia Mzungu yeyote duniani hafanyi kazi bure na akumbuke America has no permanent friend kwa hiyo walishamtumia kuvamia DRC sasa hana thamani tena.Maskini ya Mungu mwaka jana aliekuwa mkuu wa majeshi ya Rwanda Charles Kayonga alimshauri vizuri Kagame akamuambia kuwa Tanzania inapeleka majeshi DRC kwa hiyo Rwanda itafute namna ya kuwithdraw majeshi yake kwenye kikundi cha waasi cha M23 maana mziki utakuwa mzito.Kilichofuata alimuita eti Charles Kayonga ni mjinga na muoga na mwisho wa siku akamfukuza kutoka jeshini na sasa wanasema huenda jamaa alishauawa maana mara ya kwanza walisema eti amefungiwa kwenye gereza la siri nchini Rwanda lakini kiukweli wanasema kajamaa kameshamdedisha.

So in short msimalize muda wenu kujadili issue za Kagame maana ni mtu wakati wowote ule anaweza akafa either kwa kupigwa risasi ama hata kupinduliwa kwa hiyo anaweweseka tu.Unajua ukishaua sana watu inafika kipindi unakuwa chizi maana damu za watu si bure.Kwa hiyo kuna watu wanatumia uchizi wa Kagame kuchumia matumbo yao kama hawa waandishi wa News of Rwanda

Nakubaliana na wewe asilimia nyingi sana damu kwa ujumla innamfanya mtu kitu kibaya mno!!Watanzania ni vyema hilo tulielewe.Ndo sababu yule Savimbi ameona zinamsumbua akaenda Nigeria juzi jumapili.Kuna tetesi anaota watu aliowaua wanamtokea kwenye ndoto.
 
Back
Top Bottom