Miaka 53 si tayari jua limeshazama jamani??Una uzee gani trudie?
Akiniita pengine nitaenda, Kwa shishi sipendi na siendi.Halafu hua mnaenda kula?
Ni kwel mama ,naona nakimesha ziba๐ญMiaka 53 si tayari jua limeshazama jamani??
Kumbe mjeda sio tatizo ila tatizo ni location ya kwenda tu,Akiniita pengine nitaenda, Kwa shishi sipendi na siendi.
Mtu ananiita mamtu!!!Kumbe mjeda sio tatizo ila tatizo ni location ya kwenda tu,
Naona mjeda hivi karibuni akijinywea juice ya tunda kama bado lakini.
๐๐
Ni wewe hujaelewa ๐Yani kuitwa madam unaona unazeeshwa ila kujiita Binti wa zamani ni sawa,
Au mm ndio sijaelewa!
Zebedayo , zakayoHabari wadau;;
Kila mmoja ana kile akipendacho na asichokipenda.
Siku hizi kumekuwa kunaibuka misemo na majina mbalimbali ktk jamii na yamekuwa yakitumika/kutumiwa.
Kuna baadhi ya majina kama udugu wangu, na mengineyo...
Sasa kuna jina ambalo mtu aweza kukuita ila ukajikuta tuu hupendi ijapokuwa halina tafsiri mbaya wala maana mbaya ila hupendi tuu, na ukiulizwa sababu waeza ukawa huna lakini hulipendi tuu.
Binafsi, sipendi mtu aniite MKUU.
Ile, sawa MKUU, Hakuna shida MKUU, habari yako MKUU.
Oyaa yaan hiyo inaniboaga kinyama, ila sijawah kuwakataza wanaoniita hvyo lakin wangejua tuu wangeacha.
Vipi kwa upande wako Mdau...
Kuna kipindi mambo yapo safi nilikuwa napenda kuitwa hvyo,lakin siku hz nikisikia mtu ananiita tajiri naona kama ananichekaTajiri , ni unafki wa kiwango cha juu mkuu.
Mzee wa Miongozo!
๐,soma tittle,then check niliyem -quoteLina shida gani ๐
Cc Depal ๐๐Huwa nakereka mtu kuniita..Tajiriii, Bos,Mkuu,Mzee wa mifedha,Tomaso na Kamanda.
Anakuita tajiri wakat muda huo huna hata jero mfukoni๐Tajiri , ni unafki wa kiwango cha juu mkuu.
Dahh, hili sijawah kulisikia swahiba, lina maana ganMkushi
Oyaaaa๐Sawa Mkuu
Anakutengenezea mazingira ya kukupiga kizingaAu boss
๐๐ Inakukata sana ee?โDemuโ aiii hata iwe kwenye maandishi mtu kamrefer mwanamke kama demu, kuna namna natamani nimtie konzi la utosi.