Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Mtoa embu soma vizuri article uliyotoa hiyo picha .
Acha kupotosha jamii .
Hawa bodaboda wetu huku ni majanga
Acha kupotosha hizo picha zina maelezo mengine tofauti na unachotaka kubainisha watu.
Aisha kama na wewe ni bodaboda pole sana nakushauri tafuta ajira hiyo siyo ajira

 
Bodaboda, kuokota chupa za maji na takataka zingine ni ajira rasmi ya CCM.
 
Amekosea sana.
Kazi ya Boda boda isiangaliwe kwa kuwatazama Boda boda peke yao.

Inangaliwe pia Jamii inanufaikaje na kazi za Bodaboda.
1. Usafiri wa haraka na kwa bei nafuu

2. Usalama wa jamii hasa usiku wezi wamepungua sana kutokana uwepo wa Boda boda usiku.

3. Usafirishaji mizigo midogo midogo kwa kutumia Bodaboda, mimi limefanya ujenzi kwa kutegemea boda boda kunisafirishia mali ghafi kama Sement, Bati Nk.

4. Usafirishaji wa Watoto wanafunzi kwenda Shuleni imerahisishwa.


5. Ajira kwa Madereva wa Boda boda.

Nk.
 
Umetumia maneno mengi kuandika vitu visivyohusiana hata kidogo na andiko langu.

Narudia tena kusema, kama wewe unatamani mtoto wako afanye kazi ya bodaboda basi Lema asulubiwe.
 
Hatari sana CCM mmepewa points 3 za bure na hawa viongozi malimbukeni wa Chadema wasio na ufahamu na dunia kwa upana.
Ni kwa mara ya kwanza Tanzania, kiongozi wa upinzani kuwatukana kundi muhimu sana kwenye uchaguzi.
 
Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country). Ulimbukeni ni janga kubwa sana!

SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI.

Wewe ni mjinga kabisa kabisa kabisa. Idiot first class!! Hivi unajua tatizo la bodaboda lilivyo kubwa Tanzania? Kwanza hii nayo ni nchi maskini kama yetu! Au ni huo weupe wa rangi unakuzuzua?
 
Acheni kupotosha watu bodaboda sio Kazi,hao hata miaka 15 awafiki wote washakufa kwa ajali au vifua ikiwemo tb hao ni mtaji wa ccm.
 
Kama bodaboda kazi kwanini zinakamatwa mjini,kwanini haziruhusiwi kuingia mjini,kijana boda siyo kazi ndo maana lawama zote road wanabebeshwa boda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…