Msingi wa maisha mazuri ni furaha na amani ya nafsi, hayo mengine ni mahangaiko yenu wanadamu,Nina ushahidi na mmoja, anaishi karibu na Mbezi stendi. shem kwakweli anadeka. Ila ndo madhara yake ni kwamba kama ni mwaajiriwa hachelewi kustaafu wakati watoto bado wadogo.
Nampa atakacho kwa utaratibu usioleta madhara,, Hadi Raha yaniHahaha mpeleke taratibu, usimzimishe
Inatosha, kwanza sikujua kama ni wewe yaani. hukawii kunivurugaNampa atakacho kwa utaratibu usioleta madhara,, Hadi Raha yani
😂😂😂Nimewahi kukuvuruga Nini?Inatosha, kwanza sikujua kama ni wewe yaani. hukawii kunivuruga
Wakati unatumia lile jina lingine ulikuwa mchokozi sana[emoji23][emoji23][emoji23]Nimewahi kukuvuruga Nini?
Haya bhana, 💃💃wakati unatumia lile jina lingine ulikuwa mchokozi sana
[emoji3][emoji3] Kijana huwa kama ajari,,Msingi wa maisha mazuri ni furaha na amani ya nafsi, hayo mengine ni mahangaiko yenu wanadamu,
Na Uzuri kifo hakibagui waweza olewa na barobaro nae akastaafishwa kwa lazima
Umemalizia vizuri sana kuliko ulivyoanza[emoji3][emoji3] Kijana huwa kama ajari,,
Mzee anatarajiwa kabisa ujue.
Kama ana 50 unahesabu bado 10 atastaafu.
Lakini Bible inasema "kula , kunywa na kufurahi." (matatu ya msingi kwa binadamu)
Dah kiukweli hadi umri huu sijui nimechelewa mbona naona dalili watoto wataniita bibi🤔Nadhani shida kubwa hapa ni ile kutaka kusimamia maendeleo ya watoto ukiwa bado una nguvu zako zote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]35 kwa 25 ni babu![emoji15]
Una uhakika hujachanganyikiwa?
Unang'aa sharubu😀😀 dah dini pia changamoto ningekuja mkuuKm ni muislam nitafute tuondokane na hii aibu, mimi nina 34 bado nang'aa sharubu sisomeki
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wacha wee, [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshambahatisha mmoja huku, kanioa akiwa na 45 najidekea na kujionea raha tu mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Braza Sugu sasa hivi ana 50 miaka au kuikaribia wala hana ndoa ndio nilisikia yupo kwenye mchakato. Mimi ni nani niovertake wakubwa!?
Avater yako inafanya nikuone bado una umri mdogo.Dah kiukweli hadi umri huu sijui nimechelewa mbona naona dalili watoto wataniita bibi[emoji848]
Cheleweni kuoa.. halafu muoe nguvuu zikiwaa zimeishaa tena mnaoa vidada vya 20s na early 30...halafu mngongewe hao wake zenu mrudi mnalia lia hapa shauri yenu...mke wa ujana wako anavutia zaidi...shauri yenuu