Kuna mahali karoti moja inauzwa shillingi mia tatu Tanzania hii!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!

Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!

Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
 
IMG-20250111-WA0382.jpg
 
Kuna mtu amekuzuia kulima ujiuzie Tshs 20. Unataka umpangie bei mkulima huwa unamchangia pempejeo? Pumbu kwel
 
Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!

Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!

Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Mbezi Luis fungu la karoti shs 1000. Fungu lina karoti 3. Maana yake karoti 1 ni shs 330. Hiyo bei ni sawa Mkuu.
 
Back
Top Bottom