Huku kwetu uswazi gengeni ukitoa 2,000/- unapata nyanya 5pcs,vitunguu 5pcs,hoho 5pcs,karoti 5,pilipili mbuzi 2! Kuna mtu nilikuwa nae akauliza huyu anapata faida kweli? Nikamjibu na hapo katupiga sisi kaonq maboss. Kifupi bei za bidhaa zinategemea location. Bei ya Masaki sio sawa na Mbagala.Shilling mia moja.
Mbagala mnauziwa mabaki baada ya vilivyo Bora kuchukuliwa, zile nyanya na karoti tepetepe ndembendembe zimejaa makovu haswa.Huku kwetu uswazi gengeni ukitoa 2,000/- unapata nyanya 5pcs,vitunguu 5pcs,hoho 5pcs,karoti 5,pilipili mbuzi 2! Kuna mtu nilikuwa nae akauliza huyu anapata faida kweli? Nikamjibu na hapo katupiga sisi kaonq maboss. Kifupi bei za bidhaa zinategemea location. Bei ya Masaki sio sawa na Mbagala.
Hii nchi tulishaambiwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Wapi huko tuzifuate ?Wakati huku tunazinywea chai ya maziwaView attachment 3687935
Kwa lutoWapi huko tuzifuate ?
Tutakuja na ChoiceVariableKwa luto
Ni wakati wa mkulima kuchangamkia zao la karoti.Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Hujui usemalo.Mbagala mnauziwa mabaki baada ya vilivyo Bora kuchukuliwa, zile nyanya na karoti tepetepe ndembendembe zimejaa makovu haswa.
Sahihi, bei ziategemea location!Huku kwetu uswazi gengeni ukitoa 2,000/- unapata nyanya 5pcs,vitunguu 5pcs,hoho 5pcs,karoti 5,pilipili mbuzi 2! Kuna mtu nilikuwa nae akauliza huyu anapata faida kweli? Nikamjibu na hapo katupiga sisi kaonq maboss. Kifupi bei za bidhaa zinategemea location. Bei ya Masaki sio sawa na Mbagala.