cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Masalo, 😂😂😂Mbagala mnauziwa mabaki baada ya vilivyo Bora kuchukuliwa, zile nyanya na karoti tepetepe ndembendembe zimejaa makovu haswa.
Masalo, 😂😂😂Mbagala mnauziwa mabaki baada ya vilivyo Bora kuchukuliwa, zile nyanya na karoti tepetepe ndembendembe zimejaa makovu haswa.
Sasa wakazi wengi wa obay masaki sahv wanaenda soko la mtambani au mapinduzi mwananyamalaHuku kwetu uswazi gengeni ukitoa 2,000/- unapata nyanya 5pcs,vitunguu 5pcs,hoho 5pcs,karoti 5,pilipili mbuzi 2! Kuna mtu nilikuwa nae akauliza huyu anapata faida kweli? Nikamjibu na hapo katupiga sisi kaonq maboss. Kifupi bei za bidhaa zinategemea location. Bei ya Masaki sio sawa na Mbagala.
Ukitaka kujua kilimo ingia kwenye fieldNimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Huyu ananunua gengeni anategemea bei iwe chini! Mwenye genge kaenda kukubebea Kariakoo halafu akuuzie bei unayotaka wewe!Sasa wakazi wengi wa obay masaki sahv wanaenda soko la mtambani au mapinduzi mwananyamala
Soko la TX sahv nalo washalishtukia kuwa wanapigwa
Ova
Tanzania ya WicknellNimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Unapangia watu biashara zao kwa mujibu wa dini yako?Wamenunua mia moja mabibo, wauze mia mbili kama Uislamu unavyotaka.
Hapa Ngala mtoni kawaida sana kununua carrot kwa sh 500Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
The Icebreaker huyu ni nani?NAOMBA RADHI kwa kuingilia uzi wa mtu nyuzi zangu zinafutwa bila sababu.
MSAADA KWA YEYOTE MWENYE CHOCHOTE JAMANI
mimi ni ME
Napatikana mkoa wa iringa~isimani kwa namba 0703826142
Naombeni msaada wenu nahitaji elefu 70 niendelee na matibabu ya maumivu ya kifua na mbavu yaliyosababishwa na kuanguka vibaya.
Kampeni ya maliasili ya tarafa imepita na magunia 23 ya mkaa pamoja na vifaa dakila za mwisho kabisa
Muda wa wiki 3 niliopewa kurudia dawa zingine umeisha msaada wenu wadau kwa mwenye chochote
0703826142
Hii noma!Huo ni utakatishaji pesa
Mkuu mbona unashangaa visivyoshangaza?Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Hapa Ngala mtoni kawaida sana kununua carrot kwa sh 500
Lindi Karoti moja ni 800-1000Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.