Hawazitumii Sana Sisi wageni ndio tukifika huko tunapata shidaHuko, inaonekana huko mwanaume ukiwa mfanyabiashara wa karoti kutawatafuna wanawake ni rahisi sanaš
The Icebreaker huyu ni nani?
Naomba msaada wa var
Huku Songea mjini karibu na Arumeru."Ngala mtoni" ni wapi huko !!?
The Icebreaker huyu ni nani?
Naomba msaada wa var
Life...55
Leo sio Elfu 20
Joined yesterday.Nimekuwa guest kwa miaka 10 sina id ya zamani nasoma bila kupost
Bahati mbaya sina namna ya kuthibitisha
Joined yesterday.
Mishahara ya madereva ipo juu mno ipunguzwe, sio!?Kila mtu anapaswa kulima ?
Mimi ni dereva nasafirisha mazao ya wakulima.
We umetuambia ni dereva unasafirisha mazao ya wakulima. Mshahara wako huujui?Madereva wanalipwa shillingi ngapi?
Petrol na dizel bei ganiKaribu kisiwa cha mafia, bei karoti ni 500 ikishuka sanaa ni 300. Huku maji soda mnazonunua 700 huku ni 1000
Unakumbukaga bei za foodlovers chungwa unaambiwa 4000/Huyu ananunua gengeni anategemea bei iwe chini! Mwenye genge kaenda kukubebea Kariakoo halafu akuuzie bei unayotaka wewe!