Kuna mahali karoti moja inauzwa shillingi mia tatu Tanzania hii!

Kuna mahali karoti moja inauzwa shillingi mia tatu Tanzania hii!

Unakumbukaga bei za foodlovers chungwa unaambiwa 4000/
Nanasi 9000/ tikitiki 8000/
Vitungu nk usiseme kuna bosi wangu mmja nkamsanua nkamwambia aachane na bidhaa huko najuwa wanafata location quality ila bidhaa zote ni za hapa hapa
Ndiyo nkamleta soko la mtambani akashangaaa bei
Nafuu hata chole pale kuna mangi ana duka na genge bei zake ziko poa wateja kibao wanamiminika wazungu kwa wahindi na mashuwa
Anyway foodlovers ikaja kufa

Ova
Kwa hizo bei hao foodlovers watakuwa wanatakatisha pesa
 
Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!

Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!

Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Ndio shida ya kukuta chakula mezani Kila siku.Mheshimu sana mwaume anaevuja jasho lake ili wewe mwanaume mwenzie ule. (Mfano mashemeji kuweni na Adabu😂
 
Mbeya huku lundo jero Hadi zinawaozea ukiwahi soko la asubuhi hilo lundo ndo 200
 
Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!

Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!

Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
mama anaupiga MWINGI sana, unaweza kutajirika kwa kuuza KAROTI tu! tena kwenye kakibanda choka mbaya!
 
Back
Top Bottom