Wewe chawa mpuuzi ChoiceVariable sasa tutaanza kuagiza karoti kutoka Kenya. Haiwezekani karoti zikawa anasa Tanzania.Mbona uko wanauza bei rahisi sana?
Wewe umelima wapi bossNimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Kuna mtu amekuzuia kulima ujiuzie Tshs 20. Unataka umpangie bei mkulima huwa unamchangia pempejeo? Pumbu kwelNimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Unajua nini mkuu? Lima tu za kwako. Hao waliolima achana nao wasikuibie hela zako.Shilling mia moja.
Pumbavu kweli,Kuna mtu amekuzuia kulima ujiuzie Tshs 20. Unataka umpangie bei mkulima huwa unamchangia pempejeo? Pumbu kwel
Ukweli mkulima hapo kwa karoti moja hapati angalau 50/-.Kuna mtu amekuzuia kulima ujiuzie Tshs 20. Unataka umpangie bei mkulima huwa unamchangia pempejeo? Pumbu kwel
Mama Kila Kona Ya TanzaniaHayo nayo ni miongo mwa mafanikio ya mama
Sasa tutasemaje mkuuuMama Kila Kona Ya Tanzania
Mwanangu una**zwa.Hayo nayo ni miongo mwa mafanikio ya mama
Mbezi Luis fungu la karoti shs 1000. Fungu lina karoti 3. Maana yake karoti 1 ni shs 330. Hiyo bei ni sawa Mkuu.Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Hivyo HivyoSasa tutasemaje mkuuu