Kuna mahali karoti moja inauzwa shillingi mia tatu Tanzania hii!

Sasa wakazi wengi wa obay masaki sahv wanaenda soko la mtambani au mapinduzi mwananyamala
Soko la TX sahv nalo washalishtukia kuwa wanapigwa

Ova
 
Ukitaka kujua kilimo ingia kwenye field
 
Sasa wakazi wengi wa obay masaki sahv wanaenda soko la mtambani au mapinduzi mwananyamala
Soko la TX sahv nalo washalishtukia kuwa wanapigwa

Ova
Huyu ananunua gengeni anategemea bei iwe chini! Mwenye genge kaenda kukubebea Kariakoo halafu akuuzie bei unayotaka wewe!
 
Tanzania ya Wicknell
 
Hapa Ngala mtoni kawaida sana kununua carrot kwa sh 500
 
Mnaloloma mambo ya ajabu sanaa .carote kilo moja nanunua 20 000 wala sijawai kuuliza kwanini zipo humo ndani kwa miezi mi 3 sasa.
 
The Icebreaker huyu ni nani?
Naomba msaada wa var
 
Mkuu mbona unashangaa visivyoshangaza?

Mara zote kanuni ya bei za soko hupangwa na uwingi/uchache wa bidhaa period.
 
Lindi Karoti moja ni 800-1000

Kule sio tanzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…