Kuna mahali karoti moja inauzwa shillingi mia tatu Tanzania hii!

Kwa hizo bei hao foodlovers watakuwa wanatakatisha pesa
 
Ndio shida ya kukuta chakula mezani Kila siku.Mheshimu sana mwaume anaevuja jasho lake ili wewe mwanaume mwenzie ule. (Mfano mashemeji kuweni na Adabu😂
 
Mbeya huku lundo jero Hadi zinawaozea ukiwahi soko la asubuhi hilo lundo ndo 200
 
mama anaupiga MWINGI sana, unaweza kutajirika kwa kuuza KAROTI tu! tena kwenye kakibanda choka mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…