Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

Kuna mambo ukifanya watu hawafikirii mara mbili kujichukulia sheria mkononi

Azingatie na kuheshimu mkataba hicho ndicho ninachokizungumzia.

Matakwa Yake kuliwa au kutokuliwa NI akiwa nje ya mkataba.

Hakuna anayezuia Mtu Kula au kuliwa. Inachosemwa hapa NI Watu waliopo kwèñye mikataba ya mahusiano kuheshimu Mkataba Yao. Na wale ambao hawapo kwèñye mahusiano ya Ndoa kuheshimu mikataba ya Watu. Full stop

Wanaokaidi Kwa utashi waô wasilalamike wakikutana na adhabu zinazotolewa Kwa utashi wa waliowaibia wake au waume
"Mkataba wa ndoa" huwa unaweka vipengele gani ambavyo vitapelekea huo mkataba kuvunjwa, kuvunjika au kuwa "null and void"?
 
Huwezi Vunja Mkataba ukaachwa hivhivi labda Kwa nyie Civilized.
Nyie wajima muendelee na ujima wenu. By the way, unaweza hata wewe kubakwa na wahuni tu mtaani bila hata kutembea na mume au mke wa mtu. Kila kukicha watoto na wanawake wanabakwa na ni asilimia ndogo sana inahusisha kutembea na mke au mume wa mtu.
 
download (13).jpeg
 
Nipe Majibu.
Evelyn Salt ati unajua uhûsiano uliopoa Baina ya LGBTQ na Kingereza? Maana unakuta kajitu shule hakajaenda au kalikuwa kanazungusha Somo la kingereza lakini Siku hizi kanatema Kimombo
Jibu rahisi kwa muono wangu,

Wanatumia kingereza km ulinzi wa kutodharauliwa, na kuonekana wako smart n brain.

Sina hakika, ila naona iko ktk minajiri hiyoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie wajima muendelee na ujima wenu. By the way, unaweza hata wewe kubakwa na wahuni tu mtaani bila hata kutembea na mume au mke wa mtu. Kila kukicha watoto na wanawake wanabakwa na ni asilimia ndogo sana inahusisha kutembea na mke au mume wa mtu.

Husikilizi redio au Vyombo vya habari. Haiwezi kupita Siku tatu Bila tukio la ukatili unaotokana na mambo ya Mapenzi.

Ninyi Civilised tunajua mmekimbilia Wapi ndîo maana hamuwezi elewa haya mambo
 
"Mkataba wa ndoa" huwa unaweka vipengele gani ambavyo vitapelekea huo mkataba kuvunjwa, kuvunjika au kuwa "null and void"?
Ndoa ni makubaliano ya watu wa 2. Ukiona unashindwa kuishi na mwenzako ruksa kujiondoa .
 
Wanawake wangekuwa dhaifu sana mngekuwa mnahonga michepuko hadi kusahau wake wa ndoa na familia?
Ukisoma vizuri utaelewa nini haswa ndio point ili kusiwepo na matatizo ya namna hii

Si support matukio ya namna hii ila nakuambia kama wewe utaamua kukaza kichwa uendelee na Wake za watu, Ipo siku na wewe itakua ni mmojawapo ambaye wananchi pamoja na mashirika ya haki za binadamu watakua wakikupambania haki yako ipatikane mahakamani huku video zako zikionwa karibu na kila raia Tanzania.
 
Jibu rahisi kwa muono wangu,

Wanatumia kingereza km ulinzi wa kutodharauliwa, na kuonekana wako smart n brain.

Sina hakika, ila naona iko ktk minajiri hiyoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe Hiki kirembo kinaakili.
Miaka yote nilikuwa nakuona poyoyo, samahani Kwa hili. Lakini sababu ya kukuona hivyo NI mtazamo wako kuhusu hao ndugu zako wa LGBT.

Lakini Leo umenishangaza Sana.
Siku ukijitoa Huko Kwa hao wapuuzi nijulishe nikupe heshima unayostahili
 
Nyie wajima muendelee na ujima wenu. By the way, unaweza hata wewe kubakwa na wahuni tu mtaani bila hata kutembea na mume au mke wa mtu. Kila kukicha watoto na wanawake wanabakwa na ni asilimia ndogo sana inahusisha kutembea na mke au mume wa mtu.
Wewe hadi sasa umebakwa mara ngapi ?
 
Hivi mwanamke mwenye mume hajui kwamba ana mume?

Mwanaume mwenye mke, Hajui kwamba ana mke?

Sasa kama mtu anajua ameoa au ameolewa na bado anachepuka bila kujali kwamba yeye ni mke au mume wa mtu,

Mtu wa namna hii ameamua kwenda kinyume na makubaliano yenu ya kuishi pamoja na kupendana.

Huyo ni msaliti, Na huyo ndio mwenye tatizo.

Huyo aliyechepuka naye hana shida.
 
Ndoa ni makubaliano ya watu wa 2. Ukiona unashindwa kuishi na mwenzako ruksa kujiondoa .
Kuchepuka ndio dalali zenyewe sasa za kuonyesha unashindwa kuishi na mwenzako na hapo ndipo mnapaswa kujadiliana jinsi ya kuachana.
 
Husikilizi redio au Vyombo vya habari. Haiwezi kupita Siku tatu Bila tukio la ukatili unaotokana na mambo ya Mapenzi.

Ninyi Civilised tunajua mmekimbilia Wapi ndîo maana hamuwezi elewa haya mambo
Mimi niko kwenye sekta hiyo ya kufadhili ukatili wa kijinsia. Mauaji kwa ujumla yako juu. Kwa mfano mwaka 2023 mauaji yalikuwa 2033, ya wenza yalikuwa 50.
 
Ukisoma vizuri utaelewa nini haswa ndio point ili kusiwepo na matatizo ya namna hii

Si support matukio ya namna hii ila nakuambia kama wewe utaamua kukaza kichwa uendelee na Wake za watu, Ipo siku na wewe itakua ni mmojawapo ambaye wananchi pamoja na mashirika ya haki za binadamu watakua wakikupambania haki yako ipatikane mahakamani huku video zako zikionwa karibu na kila raia Tanzania.
Na mimi nakuambia kama na wewe una tabia za kulawiti au kutuma watu walawiti watu wanaotembea na mke au mume wako ipo siku utajikuta nyuma ya nondo unatumikia 30 au maisha huku mke au mume wako umemuacha uraiani wanaendelea kumfaidi wengine tu.
 
Siwaiti makatali, nawaita wajinga, wapumbavu, wajima na "uncivilized"
Kazi kweli. Watu kibao wanaachana kufuata sheria au bila kudhuriana na maisha yanaendelea. Kwani kabla ya kuwa naye hu kuwa unaishi.
 
Acheni ujinga kushadadia ukatili kwa watu. Ni udhaifu mkubwa kukodi watu wakamlawiti mtu kisa mapenzi.

Ukatili ni kufanya ubaya Kwa Mtu àmbaye hajakukosea.

Chukua Mke WA Mtu uone kama hawatakulawiti na wéwe.
Hayo màtukio Yapo mengi mitaani na yataendelea kuwepo mpaka Sheria za HAKI zitakapotungwa na serikali.
 
Siwaiti makatili, nawaita wajinga, wapumbavu, wajima na "uncivilized". Ukatili ni sehemu tu katika hizi sifa.

Waache na ûjinga waô.
Mbona Sisi tumewaacha na Civilized Yenu.
Lakini eleweni mkileta hizô civilization zenu kwèñye Ndoa za Wanaume na Wanawake weñye Ñguvu ya Pesa, mamlaka, cheo,, au Ñguvu za kiroho kama Wachawi au Manabii au mitume.
Eleweni Moto utawawakia.
Mtauuwa Kwa Mikono Yao wènyewe na hawatakuwa na hatia. Roho zào zitakuwa na Amani
 
Ukatili ni kufanya ubaya Kwa Mtu àmbaye hajakukosea.

Chukua Mke WA Mtu uone kama hawatakulawiti na wéwe.
Hayo màtukio Yapo mengi mitaani na yataendelea kuwepo mpaka Sheria za HAKI zitakapotungwa na serikali.
Haknaga sheria za hivyo hata siku moja. Ndoa ina sheria yake. Mimi mbona wa kwangu tuliachana na kila mtu ana maisha yake. Utahangaika na wa ngapi kama mumeo au mkeo ni mchepukaji?
 
Back
Top Bottom