Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
"Mkataba wa ndoa" huwa unaweka vipengele gani ambavyo vitapelekea huo mkataba kuvunjwa, kuvunjika au kuwa "null and void"?Azingatie na kuheshimu mkataba hicho ndicho ninachokizungumzia.
Matakwa Yake kuliwa au kutokuliwa NI akiwa nje ya mkataba.
Hakuna anayezuia Mtu Kula au kuliwa. Inachosemwa hapa NI Watu waliopo kwèñye mikataba ya mahusiano kuheshimu Mkataba Yao. Na wale ambao hawapo kwèñye mahusiano ya Ndoa kuheshimu mikataba ya Watu. Full stop
Wanaokaidi Kwa utashi waô wasilalamike wakikutana na adhabu zinazotolewa Kwa utashi wa waliowaibia wake au waume