Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
911
Reaction score
751
Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU

(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?"))

Sasa jamaa haelewi amjibuje? Maana ameona kama ni alama nyekundu inamuwakia hivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU
 
Mnakwama wapi mademu wa design hii jishushe mpelekee moto kweli kweli halafu akili kichwani Au unamtafutia dawa fulani anakumbuka dushentente lako hata ukimwambia sina Nauli anakuja yeye kwa gharama Zake, kuna mmoja hawezi sahau nilimvua nikavua na mimi kisha nikamtemea mate kwenye mbunyende nikamwambia sasa vaa uko huru hakuamini akili ya The Mambas. The Mambas are real men.
 
Ashukuru Mungu kamfanya huyo binti awe mkweli mapema kabIsa kabla jogoo hajawika, asikwambie mtu wanawake wanajua kupenda aisee, ata uwe wapi atakuvumilia tu as long amekupenda, sa bora huyu kaamua kuwa ukweli ila Katika njia ya kumtega jamaa

Hapo alipomwambia kuwa ye bado anasoma hapakuwa na shida maana yeye sio mwanafunzi wa kwanza duniani mwenye mpenzi aliepo mbali, shida imekuja hapo kwamba anatumia mwingi kuwa masomoni, it means binti anahitaji mtu alie Karibu nae, na mind you wanawake waga wanaongea kinyume nyume, Kwa lugha rahisi anamaanisha kuna mwamba mwingine ambae yupo Karibu yake

ila huyo binti ametumia njia ya kufikisha ujumbe ambayo jamaa atatakiwa ajikaange mwenyewe kama kitimoto, akisema ye atavumilia binti atasema sawaaa na ata akisema ni Kweli sioni future katika mahusiano yetu labda tusitishe pia binti atasema sawaaa, na mwanamke aliependa ata siku 1 hatoi option ya kumpoteza mtu wake

kiufupi ni kwamba huyo dada kajiandaa kuishi bila mwamba na hapo ametoa greenlight ili jamaa ajiongeze, ila ata kama mshkaji wako akija kujua kuwa binti sio mkweli kwenye mahusiano yao basi teyari kisingizio kipo, itakuwa ila me nilikwambia mapenzi ya mbali me yana changamoto zake

hapo jamaa awe kama amesoma Cuba ye ajiongeze tu kuwa kuna Mwanaume mwenzie Kwa sasa ndio Main character na ashukuru binti ameamua kuwa mkweli kwahiyo asipanick kama dada alivomchana inaonekana jamaa anapenda sana kupanick, sa mwache alete pigo za ohhh me nitakuvumilia, ohhh umbali sio tatizo kwangu, basi jua kabisa utaleta Tena uzi mwingine hapa siku sio nyingi ukitaka tumshauri mshkaji wako
 
Back
Top Bottom