SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 911
- 751
Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo
KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?"))
Sasa jamaa haelewi amjibuje? Maana ameona kama ni alama nyekundu inamuwakia hivi
NAWASILISHA NDUGU ZANGU