Ikulu yake ni zaidi ya hapo na hamvui viatu.
Sasa hapo ni nje au ndani?unajua ata kuzunguka nje wanavua viatu
Aka panya roadSheria ni kwa masikini tu.
Sibishani na mboga mboga. Hamnaga akili nyiehujaelewa ama unakaza fuvu tu
Hao ndio wenye hiyo mila yao nyie mnaita eti dini!!