Diego silva
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 414
- 671
Waje mashekhe kutufafanulia
Hao mashehe ndio wanajua nini zaidi ya kukariri kuruani na hadithi zilizoletwa na hao hao wenye mila yao, we uliwahi kuona mwislam wa Uarabuni akakubali kuitwa majina ya kikwetu!!??Waje mashekhe kutufafanulia
Au John, Moses nkHao mashehe ndio wanajua nini zaidi ya kukariri kuruani na hadithi zilizoletwa na hao hao wenye mila yao, we uliwahi kuona mwislam wa Uarabuni akakubali kuitwa majina ya kikwetu!!??
Mathalan azae mtoto eti amwite "Kaijage" au Masanja au masawe?? Sisi tulivyokuwa wajinga, tunaona ufahari kuzaa mtoto ukamwita eti Nasurudin, AbuuHamza, Fildaus, na majina mengine ya mila zao ni upuuzi wa kiwango cha lami!!
The same, wote huo ni ukoloni mamboleo kwa kupitia mifumo ya dini.Au John, Moses nk
Mfalme anafahamu siri ya hapo na kiti kawekewa
Sheria ni kwa masikini tu.
huu mjadala naona wanauruka sana
😂😂😂😂Hao mashehe ndio wanajua nini zaidi ya kukariri kuruani na hadithi zilizoletwa na hao hao wenye mila yao, we uliwahi kuona mwislam wa Uarabuni akakubali kuitwa majina ya kikwetu!!??
Mathalan azae mtoto eti amwite "Kaijage" au Masanja au masawe?? Sisi tulivyokuwa wajinga, tunaona ufahari kuzaa mtoto ukamwita eti Nasurudin, AbuuHamza, Fildaus, na majina mengine ya mila zao ni upuuzi wa kiwango cha lami!!
Inaruhusiwa kuswali na viatu vikiwa visafi.Ingekuwa hapa bongo angepigwa huyu au tu hapo kungekuwa na wenye dini yao kutokea Afrika angejikuta pabaya
Hao ndio wenye hiyo mila yao nyie mnaita eti dini!!
Hao mashehe ndio wanajua nini zaidi ya kukariri kuruani na hadithi zilizoletwa na hao hao wenye mila yao, we uliwahi kuona mwislam wa Uarabuni akakubali kuitwa majina ya kikwetu!!??
Mathalan azae mtoto eti amwite "Kaijage" au Masanja au masawe?? Sisi tulivyokuwa wajinga, tunaona ufahari kuzaa mtoto ukamwita eti Nasurudin, AbuuHamza, Fildaus, na majina mengine ya mila zao ni upuuzi wa kiwango cha lami!!
Hii imekaa vzr sanaQur’an 109
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
🤣Hii imekaa vzr sana