Kuna mjadala kuhusu mfalme wa saudia kuingia AlKaaba kavaa viatu

Kuna mjadala kuhusu mfalme wa saudia kuingia AlKaaba kavaa viatu

Wagalatia hamjui sheria za uislamu, ndio maana mnaona hii ni mada kubwa na hoja

Ni upuuzi wenu tu, hilo jambo lipo kisheria

Na sio kama mnavyofanya wagalatia mnakanyaga mauchafu kisha mnaingia hivyo hivyo kanisani
Kwasababu mvaa kobazi mkuu ameenda na viatu. Hao ndiyo wenye dini yao, wanaswali kwa lugha yao, wewe huku ukiletewa usome kitabu cha mwaarabu unatumbua mimacho.
Ingia msikitini na viatu kama ipo kisheria. Siku hizi mnavaa yeboyebo kuogopa kuibiwa.
Kuna jamaa aliibiwa simu na viatu alipoenda msikitini
 
Ndio ujue kuanzia leo kuwa inafaa kuswali na viatu ikiwa sio vichafu.

Tena ni SUNNAH kuswali na viatu.

Hivyo Mfalme wa Saudia hapo kafanya sawa kabisa.

Au labda Mfalme ndio kavaa basi ndio shida?


Sunan Abi Dawud 652
Narrated Aws ibn Thabit al-Ansari:

The Messenger of Allah (ﷺ) said: Act differently from the Jews, for they do not pray in their sandals or their shoes.

حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ بْنُ سَعِيدٍ، حَدَّثَنَا مَرْوَانُ بْنُ مُعَاوِيَةَ الْفَزَارِيُّ، عَنْ هِلاَلِ بْنِ مَيْمُونٍ الرَّمْلِيِّ، عَنْ يَعْلَى بْنِ شَدَّادِ بْنِ أَوْسٍ، عَنْ أَبِيهِ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏ "‏ خَالِفُوا الْيَهُودَ فَإِنَّهُمْ لاَ يُصَلُّونَ فِي نِعَالِهِمْ وَلاَ خِفَافِهِمْ ‏"‏ ‏.‏
Grade: Sahih (Al-Albani) صحيح (الألباني)حكم :
Reference : Sunan Abi Dawud 652
In-book reference : Book 2, Hadith 262
English translation : Book 2, Hadith 652


Sahih Muslim 555 a
Sa'd b. Yazid reported:

I said to Anas b. Malik: Did the Messenger of Allah (ﷺ) pray while putting on the shoes? He said: Yes.
حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ يَحْيَى، أَخْبَرَنَا بِشْرُ بْنُ الْمُفَضَّلِ، عَنْ أَبِي مَسْلَمَةَ، سَعِيدِ بْنِ يَزِيدَ قَالَ قُلْتُ لأَنَسِ بْنِ مَالِكٍ أَكَانَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يُصَلِّي فِي النَّعْلَيْنِ قَالَ نَعَمْ ‏.‏
Reference : Sahih Muslim 555a
In-book reference : Book 5, Hadith 74
USC-MSA web (English) reference : Book 4, Hadith 1129
(deprecated numbering scheme)


View attachment 3361595

View attachment 3361596
Acha kupotosha watu. Hawa wapo nje barabarani
Weka picha ya watu wamevaa viatu msikitini
 
deep inside unajua kabisa utaua mtu akiingia msikitini na viatu
Sunan Ibn Majah 1038
It was narrated from ‘Amr bin Shu’aib, from his father, that his grandfather said:
“I saw the Messenger of Allah (ﷺ) performing prayer both barefoot, and while wearing sandals.”
حَدَّثَنَا بِشْرُ بْنُ هِلاَلٍ الصَّوَّافُ، حَدَّثَنَا يَزِيدُ بْنُ زُرَيْعٍ، عَنْ حُسَيْنٍ الْمُعَلِّمِ، عَنْ عَمْرِو بْنِ شُعَيْبٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ جَدِّهِ، قَالَ رَأَيْتُ رَسُولَ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ يُصَلِّي حَافِيًا وَمُنْتَعِلاً ‏.‏
Grade: Hasan (Darussalam)




Sunan Abi Dawud 650
Narrated AbuSa'id al-Khudri:

While the Messenger of Allah (ﷺ) was leading his Companions in prayer, he took off his sandals and laid them on his left side; so when the people saw this, they removed their sandals. When the Messenger of Allah (ﷺ) finished his prayer, he asked: What made you remove your sandals? The replied: We saw you remove your sandals, so we removed our sandals.

The Messenger of Allah (ﷺ) then said: Gabriel came to me and informed me that there was filth in them. When any of you comes to the mosque, he should see; if he finds filth on his sandals, he should wipe it off and pray in them.

حَدَّثَنَا مُوسَى بْنُ إِسْمَاعِيلَ، حَدَّثَنَا حَمَّادُ بْنُ زَيْدٍ، عَنْ أَبِي نَعَامَةَ السَّعْدِيِّ، عَنْ أَبِي نَضْرَةَ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ، قَالَ بَيْنَمَا رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يُصَلِّي بِأَصْحَابِهِ إِذْ خَلَعَ نَعْلَيْهِ فَوَضَعَهُمَا عَنْ يَسَارِهِ فَلَمَّا رَأَى ذَلِكَ الْقَوْمُ أَلْقَوْا نِعَالَهُمْ فَلَمَّا قَضَى رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم صَلاَتَهُ قَالَ ‏"‏ مَا حَمَلَكُمْ عَلَى إِلْقَائِكُمْ نِعَالَكُمْ ‏"‏ ‏.‏ قَالُوا رَأَيْنَاكَ أَلْقَيْتَ نَعْلَيْكَ فَأَلْقَيْنَا نِعَالَنَا ‏.‏ فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ إِنَّ جِبْرِيلَ صلى الله عليه وسلم أَتَانِي فَأَخْبَرَنِي أَنَّ فِيهِمَا قَذَرًا ‏"‏ ‏.‏ وَقَالَ ‏"‏ إِذَا جَاءَ أَحَدُكُمْ إِلَى الْمَسْجِدِ فَلْيَنْظُرْ فَإِنْ رَأَى فِي نَعْلَيْهِ قَذَرًا أَوْ أَذًى فَلْيَمْسَحْهُ وَلْيُصَلِّ فِيهِمَا ‏"‏ ‏.‏
Grade: Sahih (Al-Albani) صحيح (الألباني)حكم :
Reference : Sunan Abi Dawud 650
In-book reference : Book 2, Hadith 260
English translation : Book 2, Hadith 650

 
Acha kupotosha watu. Hawa wapo nje barabarani
Weka picha ya watu wamevaa viatu msikitini

Picha si hiyo ya Mfalme au kuna shida?


Makafiri bhana!

Ila Alhamdulillah, kuna watu wanajifunza (ikiwemo Waislam ambao hawajui hili) na huenda kuna watu wasio Waislam wataongoka na kuingia katika Dini ya Uislam kwa sababu ya nyuzi kama hizi zenu, mnaminyana kuupiga vita Uislam halafu katika hizo hizo vita zenu kuna watu huenda wakaingia katika Uislam kwa Idhini ya Allah. Namuomba Allah akuongoze na wewe na mtoa uzi katika Uislam na mfe katika Uislam

FB_IMG_1749420554664.jpg


Japo yanatosha maneno ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake). Ila nimekuletea na picha kabisa kukuonesha kuwa Sunnah hii iliyosahaulika inatekelezwa bado na watu wanaihuisha Sunnah hii.

Namuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah.
 
Dini ikiwa yako, waweza fanya UTAKAVYO!
Waumini wako wanatakiwa kufuata maandiko na siyo matendo yako!
🤭🤣😆😅😂
Ni ushamba wenu tu na ujinga.

Inaruhusiwa kuswali na viatu visafi.
Kwasababu mvaa kobazi mkuu ameenda na viatu. Hao ndiyo wenye dini yao, wanaswali kwa lugha yao, wewe huku ukiletewa usome kitabu cha mwaarabu unatumbua mimacho.
Ingia msikitini na viatu kama ipo kisheria. Siku hizi mnavaa yeboyebo kuogopa kuibiwa.
Kuna jamaa aliibiwa simu na viatu alipoenda msikitini
 
Nabii Musa ( mweusi) aliambiwa na mola baba avue viatu mahala patakatifu alipoon moto kule kichakani sasa iweje leo mtu unaingia na viatu hii si sahihi cdhani ata kama mtume muhammad aliwah kuswali na viatu😎😎🚮
 
Ni ushamba wenu tu na ujinga.

Inaruhusiwa kuswali na viatu visafi.
Ingia msikitini na viatu kama hawajakukata kichwa wenzako. Huyu alikutwa anasikiliza muziki wa 50 Cent, Uislamu ukaenda na kichwa chake
 
Picha si hiyo ya Mfalme au kuna shida?


Makafiri bhana!

Ila Alhamdulillah, kuna watu wanajifunza na huenda kuna watu wataongoka na kuingia katika Dini ya Uislam kwa sababu ya nyuzi kama hizi zenu, mnaminyana kuupiga vita Uislam halafu katika hizo hizo vita zenu kuna watu huenda wakaingia katika Uislam kwa Idhini ya Allah. Namuomba Allah akuongoze na wewe na mtos uzi katika Uislam na mfe juu ya Uislam

View attachment 3361619

Japo yanatosha maneno ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake). Ila nimekuletea na picha kabisa kukuonesha kuwa Sunnah hii iliyosahaulika inatekelezwa bado na watu wanaihuisha Sunnah hii.
Makafiri wakati unatumia 99.9% ya bidhaa na vitu vya makafiri.
Hapo ndani kwako ukisema usitumie vitu au bidhaa za makafiri utabakiwa
1. Kanzu
2. Kibagharashia
3. Quran
4. Tende
5. Maji ya zamzam
6. Mkojo wa ngamia
7. Kuwaita watu makafiri
8. Elimu ya madrasa ambayo ni upunguani
Jaribu uone ndiyo utajua uislamu ni dini ya ovyo na watu wake wana uwezo mdogo wa kufikiria na hawana uwezo wa kutengeneza vitu.
Allah alishindwa kumfundisha Mohamad kujua kusoma na kuandika, ataweza kusikia lugha zingine zaidi ya bwana wako muarabu
 
Huyu alikutwa anasikiliza muziki wa 50 Cent, Uislamu ukaenda na kichwa chake
Japo hii taarifa ya 2016 sijaithibitisha ila kama ni kweli hao waliodaiwa kufanya hivyo (kama hilo tukio lilitokea kweli) hao ni Makhawaarij wanaojiita IS ambao wanajulikana kwa ujinga wao!

Hilo, kama kweli lilitokea, halishangazi kufanywa na IS, Makhawaarij mbwa wa motoni wamefanya zaidi ya hayo kwa Waislam bila ya haqq kwa sababu ya ujinga wao na ufahamu wao mbovu.
Ingia msikitini na viatu kama hawajakukata kichwa wenzako
Hili najua Waislam wengi hawajui. Hata mimi zamani nilikuwa sijui, hivyo sishangai. Ila watu wanajifunza siku hizi, muamko wa kusoma Dini kwa usahihi ni mkubwa miongoni mwa Waislam na Ilmu inaenea na haya mambo watu wanaanza kuyaelewa na kuyajua, Alhamdulillah. Bali kwa watu wa Sunnah haya mambo yanafahamika.

Namshukuru Allah kwa Neema ya Sunnah

Naona utata wenu ushajibiwa mnaanza kuleta mijadala mengine tena.

Mimi nishamaliza.
Namuomba Allah anifishe katika Tawheed na Sunnah. Aamiin
 
Makafiri wakati unatumia 99.9% ya bidhaa na vitu vya makafiri.
Hapo ndani kwako ukisema usitumie vitu au bidhaa za makafiri utabakiwa
1. Kanzu
2. Kibagharashia
3. Quran
4. Tende
5. Maji ya zamzam
6. Mkojo wa ngamia
7. Kuwaita watu makafiri
8. Elimu ya madrasa ambayo ni upunguani
Jaribu uone ndiyo utajua uislamu ni dini ya ovyo na watu wake wana uwezo mdogo wa kufikiria na hawana uwezo wa kutengeneza vitu.
Allah alishindwa kumfundisha Mohamad kujua kusoma na kuandika, ataweza kusikia lugha zingine zaidi ya bwana wako muarabu


Nakuzindua tena. Maendeleo ya sayansi na technologia yamechangiwa na jamii zote za WanaAdamu ikiwemo Waislam. Hii comment uliiandika sehemu na kuna ndugu akakujibu kamsome Al Khawarizmi sijui kama ulienda kumsoma. Huyo mmoja tu katika wengi mchango wake katika hiyo sayansi ni mkubwa mno na una athari kwa karne nyingi mpaka leo (sijui unaijua Algebra na Algorithm?) Sikuambii wengine, zamani na sasa.

Hivyo Acha ushamba.

Na Mtume kutojua kusoma wala kuandika ni katika maajabu. Muujiza wa Qur’an na ufasaha wake ambao unashangaza na uliwashangaza watu na majini aliteremshiwa Mtume asiyejua kusoma na kuandika. Halafu kuna wajinga wanasema alikopi sijui kwa nani nani huko! Aliwezaje? Na hao watu kwanini hawakuileta hata mfano wake?

Msihamishe uzi. Uzi ushajibiwa.

Nami nishamaliza
 
Nabii Musa ( mweusi) aliambiwa na mola baba avue viatu mahala patakatifu alipoon moto kule kichakani sasa iweje leo mtu unaingia na viatu hii si sahihi cdhani ata kama mtume muhammad aliwah kuswali na viatu😎😎🚮
wanasema inaruhusiwa
 
Inaruhusiwa kuswali na viatu vikiwa visafi.
Kwahiyo ni Kama kusema mfalme viatu vyake haiwezi kuwa vichafu. Au inasemqasemwa hivi kwakua aliyefanya ni mwenye asili uyya utamaduni wake
 
Picha si hiyo ya Mfalme au kuna shida?


Makafiri bhana!

Ila Alhamdulillah, kuna watu wanajifunza (ikiwemo Waislam ambao hawajui hili) na huenda kuna watu wasio Waislam wataongoka na kuingia katika Dini ya Uislam kwa sababu ya nyuzi kama hizi zenu, mnaminyana kuupiga vita Uislam halafu katika hizo hizo vita zenu kuna watu huenda wakaingia katika Uislam kwa Idhini ya Allah. Namuomba Allah akuongoze na wewe na mtos uzi katika Uislam na mfe juu ya Uislam

View attachment 3361619

Japo yanatosha maneno ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake). Ila nimekuletea na picha kabisa kukuonesha kuwa Sunnah hii iliyosahaulika inatekelezwa bado na watu wanaihuisha Sunnah hii.

Namuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah.
Unamuona imam anavyomtizama kwa mshangao?kama unaijua lugha ya picha ona jamaa alivyomkata jicho.
IMG_20250609_095626.jpg

Dizain anamsubiri amalize anachokifanya then aende akamuulize kama anajitambua au ni mamluki?
 
unajieleza sana, tunajua kabisa misikiti yetu apa wote wanavua viatu, sjawahi kuona mtu kaingia ndan na viatu toka nmezaliwa hii mada ni kwel nmechukua twitter ndo maaana title inasema "kuna mada inaendelea inahusiana na kuvaa viatu"....
Wewe huko ndani utakuwa umefuata nini mpaka uwaone?Viatu vinaruhusiwa mradi viwe visafi.Na kuna kuna viatu maalum vya kusalia ukipenda kuvitumia.Kama hujui jambo uliza uelimishwe
 
Kwahiyo ni Kama kusema mfalme viatu vyake haiwezi kuwa vichafu. Au inasemqasemwa hivi kwakua aliyefanya ni mwenye asili uyya utamaduni wake

Unamuona imam anavyomtizama kwa mshangao?kama unaijua lugha ya picha ona jamaa alivyomkata jicho.View attachment 3361788
Dizain anamsubiri amalize anachokifanya then aende akamuulize kama anajitambua au ni mamluki?

Hivi mmesoma kweli hizo Hadith za Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) nilizoziweka kweli? Achana na hizo picha, mmesoma hizo comments zangu nilizoweka Hadith za Mtume? Hakuna cha mwenye asili yake, sijui utamaduni wake Uislam sio Dini kwa ajili ya waarabu peke yao. Na hicho alichofanya Mfalme ni Sunnah ambayo imethibiti kutoka kwa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).

Sisi Wasislam, ikiwemo Mfalme wa Saudia, wote tunawajibika kuifuata QUR-AAN na SUNNAH juu ya UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA.



Tatizo lenu nini?
 
Hakuna huu mjadala, labda kwenu wagalatia. Hivyo acha uongo. Hii hujaitoa kule X kwa yule chizi aliyewahi kulia lia kwa sababu ya mwanamke kweli?

Unaweza kuswali na viatu maadamu ni visafi.

Ni Sunnah.


"Na kauli yake Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) iliyopokewa na Abu Salamah Sa‘iyd bin Yaziyd aliyesema: “Nilimuuliza Anas (Radhiya Allaahu ‘anhu): Je, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiswali na viatu vyake”. Akasema: “Ndio” (al-Bukhaariy na Muslim)."
Kwaiyo nyie mnavaa viatu vichafu ?
 
Back
Top Bottom