The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,855
- 28,752
Unanileteaje umri huu habari za ”hadithi njoo uwongo njoo utamu kolea” mjomba?mimi naangalia picha inasemaje.Hivi mmesoma kweli hizo Hadith za Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) nilizoziweka kweli? Achana na hizo picha, mmesoma hizo comments zangu nilizoweka Hadith za Mtume? Hakuna cha mwenye asili yake, sijui utamaduni wake Uislam sio Dini kwa ajili ya waarabu peke yao. Na hicho alichofanya Mfalme ni Sunnah ambayo imethibiti kutoka kwa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Sisi Wasislam, ikiwemo Mfalme wa Saudia, wote tunawajibika kuifuata QUR-AAN na SUNNAH juu ya UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA.
Tatizo lenu nini?
Pia hizi hizi mnazoita hadith za mtume kuna kipindi mkibanwa nazo huwa mnazikana kwamba hahusiki nazo so mimi huwa naamini kwamba chochote kinachohusisha hadith hakimuhusu mtume wenu so hata hili la viatu Msikitini unamsingizia mtume.