Kuna mjadala kuhusu mfalme wa saudia kuingia AlKaaba kavaa viatu

Hivi mmesoma kweli hizo Hadith za Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) nilizoziweka kweli? Achana na hizo picha, mmesoma hizo comments zangu nilizoweka Hadith za Mtume? Hakuna cha mwenye asili yake, sijui utamaduni wake Uislam sio Dini kwa ajili ya waarabu peke yao. Na hicho alichofanya Mfalme ni Sunnah ambayo imethibiti kutoka kwa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).

Sisi Wasislam, ikiwemo Mfalme wa Saudia, wote tunawajibika kuifuata QUR-AAN na SUNNAH juu ya UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA.

Tatizo lenu nini?
Unanileteaje umri huu habari za ”hadithi njoo uwongo njoo utamu kolea” mjomba?mimi naangalia picha inasemaje.

Pia hizi hizi mnazoita hadith za mtume kuna kipindi mkibanwa nazo huwa mnazikana kwamba hahusiki nazo so mimi huwa naamini kwamba chochote kinachohusisha hadith hakimuhusu mtume wenu so hata hili la viatu Msikitini unamsingizia mtume.
 
Mkuu ALLAH akuzidishie kheri
Sifa za makafiri ni ukaidi na ujinga pia sio watu wa adabu( ni kama wahuni) hapa unaona umetoa majibu sahihi kabisa ili wajifunze waondokane na ujinga
Lakini hawataki kabisa wao wanang'ang'ania ujinga ni ajabu watu kama hawa kujinadi ni watu wa elimu na maarifa maana tabia zao ni kama za watu mbumbumbu na wapumbavu
Kwa kua elimu umeifikisha usisumbuke kuendelea kuwaelewesha zaidi kwa maana walishaelewa ila hawataki kukubali.
Kuendeleza mjadala nao wao wanafurahi maana watakujibu kwa kejeli na matusi
 
Haya bishana na screen yako. Mtu huelewi kitu unatakiwa ujifunze kwanza. Sio unaingia mijadala Huna elimu nayo. Si ajabu huelewi chochote kuhusu Sunnah , hujui chochote kuhusu Ilmu za Hadith na sishangai, sasa si unauliza? Kuleta leta ujuaji kwenye Dini ambayo hata huijui

Kwani mkibaki na ukafiri wenu mkawaacha Waislam na Dini yao mnawashwa nini na nyinyi hamtaki kuwa Waislam?

Kitu kimethibiti katika Uislam wenyewe, wewe unasumbuka nini?

Niwaache tu
 
Aamiin. Allah akuzidishie kheri na wewe pia ndugu yangu mkarimu.

Ni kweli kabisa ndugu yangu.

Sawa. Naachana nao hawa.

Allah akulipe kheri
 
Haya bishana na screen yako. Mtu huelewi kitu unatakiwa ujifunze kwanza. Sio unaingia mijadala Huna elimu nayo. Si ajabu huelewi chochote kuhusu Sunnah , hujui chochote kuhusu Ilmu za Hadith na sishangai, sasa si unauliza? Kuleta leta ujuaji kwenye Dini ambayo hata huijui

Kwani mkibaki na ukafiri wenu mkawaacha Waislam na Dini yao mnawashwa nini na nyinyi hamtaki kuwa Waislam?

Kitu kimethibiti katika Uislam wenyewe, wewe unasumbuka nini?

Niwaache tu
Kinachofanya nibishane na wewe ni kwamba kuna wakati huwa mnazikataa hadith then kuna wakati mnazikubali,hii huzingatia mnavyoona mazingira.

By the,tukubali kutokubaliana.
 
Hivi mmesoma kweli hizo Hadith za Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) nilizoziweka kweli? Achana na hizo picha, mmesoma hizo comments zangu nilizoweka Hadith za Mtume? Hakuna cha mwenye asili yake, sijui utamaduni wake Uislam sio Dini kwa ajili ya waarabu peke yao. Na hicho alichofanya Mfalme ni Sunnah ambayo imethibiti kutoka kwa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).

Sisi Wasislam, ikiwemo Mfalme wa Saudia, wote tunawajibika kuifuata QUR-AAN na SUNNAH juu ya UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA.

Tatizo lenu nini?
Tatizo hakuna ikiwa viatu vinaruhusiwa kwa wote na sio mfalme peke yake.
Kuna mmoja Shekh anatrendi anajidai kusoma hadithi kuwa eti mwanamke hawezi kuwa kiongozi. Haya mambo yalikuwa ya zamani huko kwa wafawala wa mashariki ya mbali
 
😂😂😂😂
Haiseh
Hao mashehe ndio wanajua nini zaidi ya kukariri kuruani na hadithi zilizoletwa na hao hao wenye mila yao, we uliwahi kuona mwislam wa Uarabuni akakubali kuitwa majina ya kikwetu!!??
Mathalan azae mtoto eti amwite "Kaijage" au Masanja au masawe?? Sisi tulivyokuwa wajinga, tunaona ufahari kuzaa mtoto ukamwita eti Nasurudin, AbuuHamza, Fildaus, na majina mengine ya mila zao ni upuuzi wa kiwango cha lami!!
Hawatakuelewa:
Wamekuwa radhi kuziua kabila zao na kuzitukiza kabila za Kiarabu:
Utasikia Mmakonde anaitwa Abudulkadir Jailan Al-Hadidi 🤣🤣🤣
 
Sisi wamakonde hatutaki ugomvi nawe. Kwani tumekutenda nini?
 
Mkuu ALLAH akuzidishie kheri
Sifa za makafiri ni ukaidi na ujinga pia sio watu wa adabu( ni kama wahuni) hapa unaona umetoa majibu sahihi kabisa ili wajifunze waondokane na ujinga
Lakini hawataki kabisa wao wanang'ang'ania ujinga ni ajabu watu kama hawa kujinadi ni watu wa elimu na maarifa maana tabia zao ni kama za watu mbumbumbu na wapumbavu
Kwa kua elimu umeifikisha usisumbuke kuendelea kuwaelewesha zaidi kwa maana walishaelewa ila hawataki kukubali.
Kuendeleza mjadala nao wao wanafurahi maana watakujibu kwa kejeli na matusi

kafiri ni wewe mswahili unaeabudu dini ya waarabu. wakati quran yenyewe imeshushwa kwa waarabu kwa lugha yao ya kiarabu

Uthibitisho kuwa Qur'ani ilitumwa tu kwa ajili ya Waarabu ni katika mistari ifuatayo hapo chini:

Quran 26: 198. Na lau kuwa tungeli iteremsha juu ya mmoja wa wasio kuwa Waarabu, 199. Na akawasomea, wasingeli kuwa wenye kuamini.

Kama ambavyo Waarabu wana haki ya kuto amini kitabu chechote kile kilichotumwa kwa lugha ambayo si yakwao, ikimaanisha Kiarabu, vivyo hivyo, mashirika yasiyo ya Waarabu nao wana haki ya kuto iamini Koran, kitabu kilichoandikwa kwa lugha ya Kiarabu. Ndio kwasababu Koran inasema Allah atatuma mjumbe kwa kila lugha ili wao wenyewe kwa wenyewe waweze kuelewa

1712917243268.png
 
Haiseh

Hawatakuelewa:
Wamekuwa radhi kuziua kabila zao na kuzitukiza kabila za Kiarabu:
Utasikia Mmakonde anaitwa Abudulkadir Jailan Al-Hadidi 🤣🤣🤣
Tena unakuta mmakonde huyo anaaminishwa kwamba kuwaenzi babu zake ni ushirikina, isipokuwa uwaswalie maswahaba wa Mtume s.a w , wakati nao ni sawa na mizimu yao tu!! Yaani tumepigwa vibaya!
 
Hakika ni kuwa viatu vinafaa kuswalia maadamu ni twahara, havina najisi. Utwahara wa viatu ni kuwa vikavu.

Tufahamu kuwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) walikuwa wanaswali na viatu ambavyo walikuwa wanatembelea navyo ndani ya Msikiti.

Na kwa ajili hiyo Mughiyrah bin Shu‘bah (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema:

“Hakika Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alitawadha na kupangusa juu ya champali na viatu vyake”

(Ahmad na at-Tirmidhiy).

Na kauli yake Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) iliyopokewa na Abu Salamah Sa‘iyd bin Yaziyd aliyesema: “

Anas (Radhiya Allaahu ‘anhu):
Je, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiswali na viatu vyake”. Akasema: “Ndio”

(al-Bukhaariy na Muslim).

Kwa hiyo, waweza kuvaa hivyo viatu hata ikiwa hakuna baridi. Na hata ikiwa umetokwa na wudhuu baada ya kuwa umevivaa ukiwa nao, huna haja ya kuvivua bali waweza kupangusa juu yake wakati wa wudhuu kisha ukaswali navyo maadamu kabla ya kuvivaa ulikuwa ushatia nia ya kupangusa juu ya viatu endapo wudhuu utaondoka na kabla ya kuvivaa uwe umetia wudhuu kwa kuosha miguu kabla ya kuvaa viatu.
 
Back
Top Bottom