Kuna mjadala kuhusu mfalme wa saudia kuingia AlKaaba kavaa viatu

Wagalatia hamjui sheria za uislamu, ndio maana mnaona hii ni mada kubwa na hoja

Ni upuuzi wenu tu, hilo jambo lipo kisheria

Na sio kama mnavyofanya wagalatia mnakanyaga mauchafu kisha mnaingia hivyo hivyo kanisani
Sawa kobazi umeeleweka.
 
hadi dini 🤣 🤣 umeona kawekewa hadi kiti
Mfalme anafahamu siri ya hapo na kiti kawekewa

Sasa mkiona kwenye misikiti baadhi ya wazee wenye changamoto za miguu wakiwa na viti vyao mtasemaje?

Wakati mwengine makafiri muwe mnauliza au hata kujifunza. Mtu huelewi chochote ila ujuaji mwiiiingi
 
wanasema afuta ela msikitini unaruhusiwa kwenda na viatu
 
Ni ujinga wenu na husda zenu kwa sababu nyinyi mmepotea na hamna dini mnataka na Waislam tuwe makafiri kama nyinyi. Dini yetu sisi ina muongozo katika kila kitu. Tunamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam.

Kuswali na viatu inaruhusiwa ili mradi visiwe vichafu.

Najua ni ushamba na ujinga wako (ukijumlisha na chuki na husda) ndio umeshadadia hili ukidhani umepata pa kushikia.

Na kuhusu viti Misikitini mbona kuna wazee huwa na viti, ila ni mara moja moja. Vitu vya kawaida hivi wewe kafiri.

Umeona vitu X huko mbio mbio unakuja navyo huku ukitafuta comments na kujaza uzi kwa sababu unajua ukianzisha nyuzi za namna hii utapata comments ili angalau ile loneliness yako na depression yako nje ya JF uisahau kwa muda mfupi sio?

Allah akuongoze katika Uislam.
 
unajieleza sana, tunajua kabisa misikiti yetu apa wote wanavua viatu, sjawahi kuona mtu kaingia ndan na viatu toka nmezaliwa hii mada ni kwel nmechukua twitter ndo maaana title inasema "kuna mada inaendelea inahusiana na kuvaa viatu"....
 
Ndio ujue kuanzia leo kuwa inafaa kuswali na viatu ikiwa sio vichafu.

Tena ni SUNNAH kuswali na viatu.

Hivyo Mfalme wa Saudia hapo kafanya sawa kabisa.

Au labda Mfalme ndio kavaa basi ndio shida?

Sunan Abi Dawud 652
Narrated Aws ibn Thabit al-Ansari:

The Messenger of Allah (ﷺ) said: Act differently from the Jews, for they do not pray in their sandals or their shoes.

حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ بْنُ سَعِيدٍ، حَدَّثَنَا مَرْوَانُ بْنُ مُعَاوِيَةَ الْفَزَارِيُّ، عَنْ هِلاَلِ بْنِ مَيْمُونٍ الرَّمْلِيِّ، عَنْ يَعْلَى بْنِ شَدَّادِ بْنِ أَوْسٍ، عَنْ أَبِيهِ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏ "‏ خَالِفُوا الْيَهُودَ فَإِنَّهُمْ لاَ يُصَلُّونَ فِي نِعَالِهِمْ وَلاَ خِفَافِهِمْ ‏"‏ ‏.‏
Grade: Sahih (Al-Albani) صحيح (الألباني)حكم :
Reference : Sunan Abi Dawud 652
In-book reference : Book 2, Hadith 262
English translation : Book 2, Hadith 652

Sahih Muslim 555 a
Sa'd b. Yazid reported:

I said to Anas b. Malik: Did the Messenger of Allah (ﷺ) pray while putting on the shoes? He said: Yes.
حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ يَحْيَى، أَخْبَرَنَا بِشْرُ بْنُ الْمُفَضَّلِ، عَنْ أَبِي مَسْلَمَةَ، سَعِيدِ بْنِ يَزِيدَ قَالَ قُلْتُ لأَنَسِ بْنِ مَالِكٍ أَكَانَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يُصَلِّي فِي النَّعْلَيْنِ قَالَ نَعَمْ ‏.‏
Reference : Sahih Muslim 555a
In-book reference : Book 5, Hadith 74
USC-MSA web (English) reference : Book 4, Hadith 1129
(deprecated numbering scheme)

1749417277408.jpeg

RDT_20250609_0011594750999439010555879.png
 
View attachment 3361595

View attachment 3361596
deep inside unajua kabisa utaua mtu akiingia msikitini na viatu
 
Dini ikiwa yako, waweza fanya UTAKAVYO!
Waumini wako wanatakiwa kufuata maandiko na siyo matendo yako!
🤭🤣😆😅😂
 
Back
Top Bottom